Utafiti_Uwekezaji katika Masoko ya Hisa

Utafiti_Uwekezaji katika Masoko ya Hisa

416006

Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Ndugu wana JamiiForums,

Naomba kuwaalika wale wenye hisa katika makampuni ambayo hisa zake zinauzwa katika soko la Dar es Salaam (DSE) kushiriki katika utafiti wangu wa Uzamivu (PhD) kuhusu maamuzi ya kuwekeza katika soko la hisa. Hawa ni watu wenye hisa kwenye kampuni kama vile TBL, TWIGA, TCC, CRDB, n.k.

Nimeandaa dodoso ambayo unaweza kuijaza online. Fuata link hii hapa chini:

https://www.surveymonkey.com/s/58DLYW8

Ukimaliza kujaza, bofya kitufe cha "Done", nayo itanifikia mara moja.

Natanguliza shukrani za dhati, kwa wale watakaopenda kuchangia katika utafiti huu.
 
Mkuu kwa wale tunaotumia longa longa utatusubiri kidogo mpaka tuingie kwa desktop

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom