Utafungiaje Twitter halafu uendelee kuitumia?

Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuild.

Falsafa ya mama Samia Suluhu Hassan
tutayoenda nayo mpaka 2030 kwa uchache.
Acha upuuzi . 4R za kupoteza watu? Huyu dakari aliyeokotwa Koko beach angekuwa ndugu yako ungesemaje?
 
Kumbe anazijua vpn 🤣🤣🤣🤣
 
haijafungwa ndio maana anatumia gentleman
 
Mbaya zaidi wanadai kuifungia kwa sababu ya maudhui ya mbaya(Ngono).

Hao watu wataku hawana akili timamu
 
Wanaposti national na international matters wakitumia VPN.
Wakenya wanatushangaa sana akili zetu.
 
Yes kama Twitter iko nje ya maadili basi serikali ifute account zake zote Twitter.

Common sense ya kawaida- ukifungia watu kuwa kwenye platform fulani na wewe una account, inafikirisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…