Utafungiaje Twitter halafu uendelee kuitumia?

Tangu wafunge wakati wa udukuzi wa Wakenya wameogopa kabisa kuufungua tena. Waache uoga, namna hii wanazidi kutukwaza wananchi
 
Hivi nini tofauti ya mjinga na mpumbavu?
Nataka nitumie lenye uzito kucomment huyu aliyefungia X then anaitumia!!
Mpumbavu au stupid aisee ni nzito sana! Mjinga anaelimika ila huyo wa juu ni milele!
 
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani inayo ongozwa kwa kutumia uchawa a.k.a kujizima data tuseme kutumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa,

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), yaani kuahirisha kufikiri kizalendo
 
CCM ni mazuzu kweli kweli.
 
Kwani wewe ujawahi siku ukatuma comment usigusie mambo ya haja kubwa au mambo ya hivo vtu mkuu..

Samahani lakini.... Sina nia mbaya
Shida iko wapi?

We hujambagi? tena wewe unaonekana ni kajambaji sana, kanajamba kwa kubinua tako moja.
 
K Rais tumempata aisee hivi ni yeye au washauri wake? Natamani niwe mshauri nimshauri maana anaelekea kwenye shimo la chewa soon anapoteza mwelekeo
 
Uzushi tu.
Uzushi Upi? Jelly Slaa ameongea hadharani Kuwa X iko Blocked Tanzania kwasababu ina Maudhui yasiofaa ajabu sasa Page za Serikali ikiwemo Page ya Kurugenzi ya Rais Ikulu ina Post Maudhui Kupitia Huo mtandao wa X
 
Ndiyo hao wanajiita watawala
 
Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuild.

Falsafa ya mama Samia Suluhu Hassan
tutayoenda nayo mpaka 2030 kwa uchache.
Na kuwateka na kuwapoteza akina Mdude Nyagali mbona umesahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…