Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoani Arusha Simon Ngilisho amesema kuwa zoezi Upigaji kura limeanza vizuri lakini bado kuna changamoto kubwa ya utafutaji majina
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha zoezi la upigaji kura Mwenyekiti huyo amesema kuwa majina ya wapiga kura haya kuratibiwa vizuri hali inayofanya watu kutumia mda mwingi kutafuta majina yao.