Kiplayer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,180
- 1,964
Kwa sasa wanawake wameamka vilivyo katika ujasiriamali. Sokoni, stendi, barabarani wamechachamaa. Wake zetu wanasema maisha kusaidiana.
Kwa uwezo mdogo wa kuhimili vishawishi walionao ni rahisi mno kuvuliwa na wavuvi. Kwa mfano mama wa watu asubuhi asubuhi anatembeza vitafunwa majumbani mwa watu, asipokuwa imara atakuwa mtu wa kivutiwa ndani kesi inaisha.