Haruni Kassian Kadege
Member
- Nov 15, 2023
- 86
- 122
Naomba Kuulizia Kwa Hapa Bongo ni Kweli Kuna Watu Wanauza Nafasi zao Ili Kupata UTAJIRI na Je Wanamwuzia Nani Au Wote Wameishia Kutapeliwa na Wajanja wa Mjini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize chief GodloveNaomba Kuulizia Kwa Hapa Bongo ni Kweli Kuna Watu Wanauza Nafasi zao Ili Kupata UTAJIRI na Je Wanamwuzia Nani Au Wote Wameishia Kutapeliwa na Wajanja wa Mjini??
Kweli ww n kadegeNaomba Kuulizia Kwa Hapa Bongo ni Kweli Kuna Watu Wanauza Nafasi zao Ili Kupata UTAJIRI na Je Wanamwuzia Nani Au Wote Wameishia Kutapeliwa na Wajanja wa Mjini??
HahahaKweli ww n kadege
Nasikia wengi Wamelizwa na Huyo MwambaMuulize chief Godlove
Hizo ni Tamaa SasaUza kijambio
Hizo ni TamaaUza kijambio
Once one philosopher said "the problem we human we like pleasure more than pain"Hizo ni Tamaa
Kama Wazo Hivi Wapi Wananunua??Uza figo yako kwa 40 milion halafu chukua 30 milion utafute odd 10 weka una uhakika wa kupiga 300 million halafu unatafuta figo nyingine kwa 40. Tayari utakuwa na hela
Amina Nalo Ni Wazo BhnaaaTafuta pesa halali ya jasho lako.utafurahia.sana maisha kuliko.hizo.shortcut ndugu yangu na mpendwa wangu
Shida Kila Kitu Kinapita Pembeni Sasa?kijana kua makini mafanikio huja kwa kufikiri na kutenda yalio na manaa
fanya kazi sana linda afya yako wekeza kwa unachokipata kwajili ya kesho yako
usipagawe na mitikasi ya watu
Soma VizuriSijaelewa
Hakuna utajiri wa halali. JidanganyeTafuta pesa halali ya jasho lako.utafurahia.sana maisha kuliko.hizo.shortcut ndugu yangu na mpendwa wangu