Nyie vichwa vigumuu[emoji23][emoji23][emoji23]Dingi kapoteza june hii 35m!...me zaidi ya 7!na bado tunakomaa tu!_[emoji28]
Nyie vichwa vigumuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Afate moto mtu aone [emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wataalamu.
Nina miaka kama 10 nimekuwa nazunguka migodini kuchimba madini ya dhahabu bila mafanikio.
Nimepoteza kiasi cha sh.M.6.5 katika Maeneo ya Musoma Bhuhemba, Nyarugusu Stamico, Nyaruyeye Geita, Bingwa Lwamgasa na Kaseme.
Kuna kipindi nikiwa Mgodi wa Buziba Lwamgasa nilichimbisha duara likafika na nikabahatisha kuwa na mauzo ya Gramu 8 kwa mfuko.
Nilibahatisha kupata mifuko 20 cha ajabu baada ya siku mbili mwamba ukageuka na zikawa shaba badala ya dhahabu na kusababisha mfuko kuwa na point 3 tu lakini jirani yangu mfuko ukapanda na kuwa gram 28 kwa mfuko.
Mpaka muda huu nimechoka kabisa.Najiuliza nakosea wap katika utafutaji wa madini haya?
Kwa wataalamu naomba ushauri sijakata tamaa bado.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwamba watu wengi wananishauri nitafute mganga.Je, kuna uhusiano kati ya waganga na dhahabu????
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mna pesa, kwa nini msitafute processing licence, mkawa mnagawana na wachimbaji wadogo percent ya kile wanacho pata?Mi ni mchimbaji pia. Nimeendesha shughuli zangu za uchimbaji nyamigogo...nyaruyeye enzi za baraka..nikaja nyarugusu...mugusu pamoja na nyamatagata. Niko na uzoefu mkubwa katika hayo mambo. Kiukweli kuna changamoto kubwa sana ila kuna pesa nyingi sana mambo yakikaa sawa.
Kwa uzoefu wangu mpaka sasa kuna njia ambayo sasa nimeamua kuifuata na ni njia sahihi katika utafutaji wa dhahabu.
Nakuomba kama upo kweli sirious unataka hela ya dhahabu hebu nicheki PM tushauliane kisayansi.
Nko dar Nmeingia juzi katiHaijambo Gairo boss!
Ujanja wangu wote dhahabu nmechemshaHaijambo Gairo boss!
Kama mna pesa, kwa nini msitafute processing licence, mkawa mnagawana na wachimbaji wadogo percent ya kile wanacho pata?
Miaka 10 mngekuwa mshapata uzoefu wa kutosha. Labda pengine hata faida kubwa luliko mnavyowekeza kwenye "Prospect" zisizokuwa na uhakika.
Na kwa sababu ya kutokuwa na data za kutosha, ni rahisi kuambiwa hiki mara kile mwisho wa siku unatumbukia kwenye ushirikina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujanja wangu wote dhahabu nmechemsha
Nilijaribugi kupiga Kazi sehemu za mvuha moro
Nlipoona garama zinazidi kwenda na sipati kitu
Nakumbuka nliwaachia manyoya watu hko
Alfajiri nlitoka nduki.......
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app