DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 801
anamuwakilisha Manji sio Tanzania kwanza kesho anapigwa 3 kwani nani asiyejua kuwa dawa ya waarabu ni MNYAMA huwa hatutok kizembe anatakiwa ajue wale sio costa union ya tanga wala sio mbeya city. MM NTASHABIKIA ETOILE KWA MUDA
NIA YA KUISHABIKIA NINAYO.
SABABU YA KUISHABIKIA NINAYO.
NA UWEZO WA KUISHABIKIA NINAO.
Sasa tufikie wakati tubadirike wakuu.
Maana sipungukiwi na kitu kuishabikia Yanga kimataifa wakati anaiwakirisha nchi na ukanda mzima wa E.AFRICA.
Ili kuanza kuwashinda waarabu sasa ni kua united kimataifa!!!
Naomba kuwasilisha!!!
unaweza kumbadilisha kadinali pengo awe wa upande wa pili wa akina msikiti wa mtambani? kuishangilia yanga kesho ni sawa na kwenda jehanam!
NIA YA KUISHABIKIA NINAYO.
SABABU YA KUISHABIKIA NINAYO.
NA UWEZO WA KUISHABIKIA NINAO.
Sasa tufikie wakati tubadirike wakuu.
Maana sipungukiwi na kitu kuishabikia Yanga kimataifa wakati anaiwakirisha nchi na ukanda mzima wa E.AFRICA.
Ili kuanza kuwashinda waarabu sasa ni kua united kimataifa!!!
Naomba kuwasilisha!!!
Siku zote ulipoweka wewe neno mimi huwa siongezi neno,Mzalendo wa ukweli, ubarikiwe sana achana na mashabiki uchwara wanaopenda kuona Yanga ikifungwa, eti ikishinda itafikia rekodi ya Simba kuitoa Zamalek na hivyo Simba itakosa cha kujivunia; mawazo ambayo ni 'bull shit'! Simba itabaki kuwa Simba na Yanga itabaki kuwa Yanga.
CC. ANTIBIOTIQUE
anamuwakilisha Manji sio Tanzania kwanza kesho anapigwa 3 kwani nani asiyejua kuwa dawa ya waarabu ni MNYAMA huwa hatutok kizembe anatakiwa ajue wale sio costa union ya tanga wala sio mbeya city. MM NTASHABIKIA ETOILE KWA MUDA
we ndugu zako wakukamate wakupeleke milembe sio bure
Tanzania first , Simba na Yanga Baadaye kabisa.anamuwakilisha Manji sio Tanzania kwanza kesho anapigwa 3 kwani nani asiyejua kuwa dawa ya waarabu ni MNYAMA huwa hatutok kizembe anatakiwa ajue wale sio costa union ya tanga wala sio mbeya city. MM NTASHABIKIA ETOILE KWA MUDA