Utaifa kwanza, Simba baadae: Kesho naishabikia Yanga!

DAKA MTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,288
Reaction score
801
NIA YA KUISHABIKIA NINAYO.
SABABU YA KUISHABIKIA NINAYO.
NA UWEZO WA KUISHABIKIA NINAO.

Sasa tufikie wakati tubadirike wakuu.
Maana sipungukiwi na kitu kuishabikia Yanga kimataifa wakati anaiwakirisha nchi na ukanda mzima wa E.AFRICA.
Ili kuanza kuwashinda waarabu sasa ni kua united kimataifa!!!

Naomba kuwasilisha!!!
 
Attachments

  • images-4.jpeg
    images-4.jpeg
    11.9 KB · Views: 268
Safi mkuu!!!
Karibu sana mzalendo na huo ndio uzalendo.
 
anamuwakilisha Manji sio Tanzania kwanza kesho anapigwa 3 kwani nani asiyejua kuwa dawa ya waarabu ni MNYAMA huwa hatutok kizembe anatakiwa ajue wale sio costa union ya tanga wala sio mbeya city. MM NTASHABIKIA ETOILE KWA MUDA
 
Loading............
 
NIA YA KUISHABIKIA NINAYO.
SABABU YA KUISHABIKIA NINAYO.
NA UWEZO WA KUISHABIKIA NINAO.

Sasa tufikie wakati tubadirike wakuu.
Maana sipungukiwi na kitu kuishabikia Yanga kimataifa wakati anaiwakirisha nchi na ukanda mzima wa E.AFRICA.
Ili kuanza kuwashinda waarabu sasa ni kua united kimataifa!!!

Naomba kuwasilisha!!!

unaweza kumbadilisha kadinali pengo awe wa upande wa pili wa akina msikiti wa mtambani? kuishangilia yanga kesho ni sawa na kwenda jehanam!
 
NIA YA KUISHABIKIA NINAYO.
SABABU YA KUISHABIKIA NINAYO.
NA UWEZO WA KUISHABIKIA NINAO.

Sasa tufikie wakati tubadirike wakuu.
Maana sipungukiwi na kitu kuishabikia Yanga kimataifa wakati anaiwakirisha nchi na ukanda mzima wa E.AFRICA.
Ili kuanza kuwashinda waarabu sasa ni kua united kimataifa!!!

Naomba kuwasilisha!!!

Mzalendo wa ukweli, ubarikiwe sana achana na mashabiki uchwara wanaopenda kuona Yanga ikifungwa, eti ikishinda itafikia rekodi ya Simba kuitoa Zamalek na hivyo Simba itakosa cha kujivunia; mawazo ambayo ni 'bull shit'! Simba itabaki kuwa Simba na Yanga itabaki kuwa Yanga.

CC. ANTIBIOTIQUE
 
Siku zote ulipoweka wewe neno mimi huwa siongezi neno,
Umemaliza kila kitu mkuu.........
 
anamuwakilisha Manji sio Tanzania kwanza kesho anapigwa 3 kwani nani asiyejua kuwa dawa ya waarabu ni MNYAMA huwa hatutok kizembe anatakiwa ajue wale sio costa union ya tanga wala sio mbeya city. MM NTASHABIKIA ETOILE KWA MUDA

we ndugu zako wakukamate wakupeleke milembe sio bure
 
kushabikia hapana ila nawatakila kila la heri
 
Natamani nikushukuru na kukupongeza kwa kuonesha uzalendo....

Lakini moyo wangu wajawa na simanzi maana nahisi utatulete lile gundu la Msimbazi...
 
Hapa kuna utata kidogo, isije kuwa unalako jambo.
Karibu jangwani lakini timu ya wananchi ikifuta utawala wa waarabu.
Yanga 3-0 Etoile du Sahel
 
Lazima KANDAMBILI afe tena kikatili.........
 
Last edited by a moderator:
astaghafilullah unaenda kushangilia kandambili we so mwenzet tena na usirudi huku..
 
anamuwakilisha Manji sio Tanzania kwanza kesho anapigwa 3 kwani nani asiyejua kuwa dawa ya waarabu ni MNYAMA huwa hatutok kizembe anatakiwa ajue wale sio costa union ya tanga wala sio mbeya city. MM NTASHABIKIA ETOILE KWA MUDA
Tanzania first , Simba na Yanga Baadaye kabisa.
 
Daima mbeleee,naandaa nguo za kwenda kuangalia etoile akifa izo 4 taifa
 
Hakuna cha utaifa hapa,Yanga siyo timu ya taifa.Mi nawaombea wapigwe....eeeh wapigwe tu maana wamezoea hao...
 
Back
Top Bottom