Utajiri kwa nguvu za giza -occultism(kwanini masharti huwa magumu sana)

Huyo bidada nayeye alijilipua kinoma
 
Watu hawaamini
 
Roho ya mtu wa kawaida ni dhaifu na iliyojaa woga, lengo la masharti ni kujenga roho yenye ujasiri na isiyo na hofu, ili kupata mtu tajiri,

Mtu anajengwa

Ideals,
 
Chai
 
Mkuu una umri gani?

Kweli kabisa mtu na akili zako TIMAMU unaamini hekaya za kuambiwa kama hizi?
 
Hakuna anayempangia mtu yeyote

Mafanikio(utajiri) ni makutano ya mambo matatu

Juhudi
Wakati(timing)
Kudra(bahati)

Hakuna namna unaweza ku justify madai yako
 
Mkuu usitafute excuse ya “UMASIKINI” wako.

Mentality kama hizi ni za kipuuzi sana kuhalalisha umasikini na kuharamisha “UTAJIRI” kama ni kitu kinachopatikana kwa njia MBAYA tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…