Utajiri kwenye jongoo (Millipedes )

abaa4all

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
313
Reaction score
291
Habarin wadau
kwa mwanakilimo yoyote ili afanikiwe lazima ajiongeze na kwa sasa ajira ni ngumu sana.
Jongoo wamekuwa kimbilio kubwa la utajiri kwa sasa huna haja ya kutumia pesa ndefu kuwekeza.
Nchini china na japan wamekuwa wanunuzi wakubwa wa jongoo kwa ajili ya chakula.
Jongoo mmoja sasa katik soko la dunia anifika dollar 10.
Ni muda tu wakuwakusanya na kupata tani kumi tu za jongoo ili kukidhi soko.

Tuchangamkie fursa
 
daa nimecheka sana mkuu na hii fursa mpya,,,ama kweli njaa huifanya mbongo iwe active
 
Itakua umechelewa kuijua hii fursa, mbona ipo kitambo sana na sio lazima kwenda China au Japan unaweza kupeleka kwenye migahawa yao nchini mwako.
 
Itakua umechelewa kuijua hii fursa, mbona ipo kitambo sana na sio lazima kwenda China au Japan unaweza kupeleka kwenye migahawa yao nchini mwako.
Shukran sana ss hivi nimepata tani moja ya jongoo ntka wafike kuanzia tani kumi tu nianze kusuply
 
Tani moja ya jongoo hahaha na bado unataka tani 10 hehehe hii kizamani sana mbona?
siku hizi wenzio wana mbinu mpyaaaa.

Anyway, good luck.
Kizamani nn mkuu km unfikiria ishu ya utapeli wala haipo soma uzi wangu na nyingine zangu humu hakuna hta moja ya utapeli mm natafuta hela kwa upande mwingine wa vitu ambavyo watu hawavifikirii nimevileta humu ili tushare,
 

unaongelea majongoo hawa?
 
Mkuu njoo pm tuyajenge nina km kilo 800 hivi za jongoo
 
Mkuu njoo pm tuyajenge nina km kilo 800 hivi za jongoo
Mkuu wapime ukipata tani moja kuna soko la fasta north korea nitkupa contact hapa hapa uwasliane nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…