SoC02 Utajiri uliojificha katikati ya wanawake na watoto

SoC02 Utajiri uliojificha katikati ya wanawake na watoto

Stories of Change - 2022 Competition

Hamissi Hamza Jr

Senior Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
103
Reaction score
209
Inawezekana Kwa mwanaume kubaki na Muonekano ule ule Kwa miezi sita au zaidi ila hilo ni ngumu Kwa mwanamke", Mwanamke anajali muonekano wake kwanza kuliko kingine chochote".

Inawezekana Kwa Mwanaume akawa Bahili ila hilo haliwezekani Kwa wanawake na watoto".

Mwanaume akipata pesa Hufikilia kwanza Familia (mwanamke na watoto), Na Mwanamke akipata pesa kwanza Hufikilia Matumizi take yeye na watoto ".

Ni Rahisi zaidi kilichopendwa na wanawake na watoto kuwa maarufu zaidi ndio maana Chipsi ni maarufu, Nyama ni maarufu, soda ni maarufu, tiktok ni maarufu Nk".

Hivyo ukifilia kufungua Biashara au kampuni Watizame wanawake na watoto kwa jicho La Tatu kuna tobo la mafanikio katikati yao".
 
Upvote 2
Back
Top Bottom