Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
-
- #21
Kwa asilimia kubwa maskini ndio chanzo Cha uovu mtu kama Mo anafanya uovu gani Sasa?Vyote, maskini anafanya chochote kupata utajiri, akiwa tajiri anafanya chochote kuhakikisha harudi kwenye umaskini.
Bora Mimi maskini lakini naukataa kwa hali na maliHata wewe kuna watu ukisimama nao wanakuona maskini tu japo sio fukara😄
Yote ni sawa tuu,matajiri huwatumia maskini kuendeleza Mambo Yao mema au mbaya,baadhi ya matajiri huwatumia maskini wakafanye uharibifu kwa matajiri wenzao!Karibuni wadau tujadili.
Sahihi mkuu!Ni mtu tu alivyo haijalishi ni masikini ama tajiri, kama ana uovu anao tu.
Kuna matajiri ni wezi, wauaji n.k na masikini vivyo hivyo wapo wezi, wauaji.
Umasikini na utajiri havitoi picha halisi ya uovu.
Anyway, for context masikini wamezidi!
Hata ukate vip mtu kama Elon musk anakuona ni maskini tu 😅Bora Mimi maskini lakini naukataa kwa hali na mali
We pia ni mchawiHata ukate vip mtu kama Elon musk anakuona ni maskini tu 😅
Nakupa black and white , na mimi kweli ni mchawi haswa.We pia ni mchawi
Jinga wewe 😂😂😂
Sahihi kabisaTajir akiamua kufanya maovu anafanya had shetan anaogopa tofaut na maskini uovu wao mkubwa upo kwenye midomo Yao maneno wivu usengenyaji udokozi wa vitu maana tukisema wizi masikin wizi wao ni WA tv na masabufa
YeahUmasikini ni Nini ?
Lazima ufahamu hilo kwanza; Ukishapata Basic Needs umasikini kwako unategemea your wants (sio needs tena) kwahio huenda wengine wakakuona wewe ni tajiri wakati binafsi ni masikini...
Kama nina debe moja la mahindi na ninahitaji sufuria; wakati wewe una gunia kumi wakati unahitaji mia moja basi wewe ndio masikini wakati una vingi kuliko mimi...
Thus Monks can have peace, unity and happiness ingawa wana lack material things
CCM KWA TANZANIA NAONA CHANZO CHA UWOVUKaribuni wadau tujadili.
Mchawi ww alaaahNakupa black and white , na mimi kweli ni mchawi haswa.
Kwa asilimia kubwa maskini ndio chanzo Cha uovu mtu kama Mo anafanya uovu gani Sasa?
Kila kitu anachofanya Mo unakifahamu?Kwa asilimia kubwa maskini ndio chanzo Cha uovu mtu kama Mo anafanya uovu gani Sasa?
Hapan but the man anapambn he is using his mind mostlyKila kitu anachofanya Mo unakifahamu?
Ni kweli unachosema mkuu, but you've to understand black side huwa haziwi exposed labda itokee tu bahati mbaya watu wazigundue.Hapan but the man anapambn he is using his mind mostly