Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani?

Umasikini kwa kiasi kikubwa ndo unafanya watu wafanye maovu,

Hata huyo Tajiri ikiwa anafanya maovu kupata kuendeleza utajiri wake naye ni masikini kulingana na kundi alilo nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…