pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
bila kuacha uvivu na kufanya kazi kwa bidii na bila kuchoka wala kukataa tamaa, vitu vizuri utaviona kwa wengine tu huku ugumu wa mashia uliondamana na kufuatilia utajiri na maisha ya watu vikikuamdama maisha yako yote.Kuna nini kwenye haya makanisa au Kuna Siri Gani imejificha? Nimeamua nikae siriaz Sasa nifikirie nikachukue nguvu za upako na Mimi nifungue ministry yangu.
Huyu naye anaitwa Apostle Ama pasta DALE.....angalia baadhi ya magari ya kifahari aliyonayo..ni hizi hizi sadaka zetu makapuku?
Jamaa unaaambiwa ana ndinga Kali zote za bei mbaya na mpya..hakuna gari chini ya mwaka 2023..kuna g wagon Moja nimeenda kucheki bei gari inauzwa milioni 900..aisee ..hapana...siwezi kufa masikini kwenye hii nchi ya maziwa na asali. NEVER
Wanasema kosa sio kuzaliwa masikini, kosa kufa masikini.View attachment 3231892
Sawa kapuku mwenzangu wa chama tawala.bila kuacha uvivu na kufanya kazi kwa bidii na bila kuchoka wala kukataa tamaa, vitu vizuri utaviona kwa wengine tu huku ugumu wa mashia uliondamana na kufuatilia utajiri na maisha ya watu vikikuamdama maisha yako yote.
work hard gentleman hutojuta wala kupata muda wa kufuatilia wengine[emoji205]
Hivi ni tz tu ndio Kuna wajinga wengi ? Mbona nchi nyingine waumin Wana pesa hata wakiwa wanampa pesa nabii unakuta anawapa konekshen ya namna ya kupata pesa zaidi ..huku kwetu ukiwaangalia waumin na manabii ama maaposto utacheka kwa uchunguWajnga ni wengi
Unavuna tu
Ova
Wa hapa kwetu bongo mkuu. Na hajaanza mda mrefu. Wewe ukiwa unapita mtaani ukakutana na mojawapo ya ndinga zake kama G WAGON ina plate namba zimeandikwa DALE ...ujue ndio mwamba mwenyewe. Hawekagi plate namba zetu za kimaskin sjui T 100 ABC ili wakuda na wachawi tukamuangalie kwenye tovut ya tra...[emoji3]Ni wa wapi huyo, na ameanza mwaka gani hio kazi?
Ndiyo. Tangu kukua kwetu binadamu tumeishi kwa masharti..siogopi mashartiMashalti utayaweza kijana
Najua mtaalam wa hizo makitu mkuu. ..hizo Sasa ni baadhi tu ...Range, S-Class, GLE
Aisee,dunia ina mambo mengiWa hapa kwetu bongo mkuu. Na hajaanza mda mrefu. Wewe ukiwa unapita mtaani ukakutana na mojawapo ya ndinga zake kama G WAGON ina plate namba zimeandikwa DALE ...ujue ndio mwamba mwenyewe. Hawekagi plate namba zetu za kimaskin sjui T 100 ABC ili wakuda na wachawi tukamuangalie kwenye tovut ya tra...[emoji3]
The End, justifies the meansKuna nini kwenye haya makanisa au Kuna Siri Gani imejificha? Nimeamua nikae siriaz Sasa nifikirie nikachukue nguvu za upako na Mimi nifungue ministry yangu.
Huyu naye anaitwa Apostle Ama pasta DALE.....angalia baadhi ya magari ya kifahari aliyonayo..ni hizi hizi sadaka zetu makapuku?
Jamaa unaaambiwa ana ndinga Kali zote za bei mbaya na mpya..hakuna gari chini ya mwaka 2023..kuna g wagon Moja nimeenda kucheki bei gari inauzwa milioni 900..aisee ..hapana...siwezi kufa masikini kwenye hii nchi ya maziwa na asali. NEVER
Wanasema kosa sio kuzaliwa masikini, kosa kufa masikini.View attachment 3231892
Mkuu umeona hio kwa nyuma hapo. ..Range, S-Class, GLE