pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Kuna nini kwenye haya makanisa au Kuna Siri Gani imejificha? Nimeamua nikae siriaz Sasa nifikirie nikachukue nguvu za upako na Mimi nifungue ministry yangu.
Huyu naye anaitwa Apostle Ama pasta DALE.....angalia baadhi ya magari ya kifahari aliyonayo..ni hizi hizi sadaka zetu makapuku?
Jamaa unaaambiwa ana ndinga Kali zote za bei mbaya na mpya..hakuna gari chini ya mwaka 2023..kuna g wagon Moja nimeenda kucheki bei gari inauzwa milioni 900..aisee ..hapana...siwezi kufa masikini kwenye hii nchi ya maziwa na asali. NEVER
Wanasema kosa sio kuzaliwa masikini, kosa kufa masikini.