Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
.....Work Hard but Smart.... !!!bila kuacha uvivu na kufanya kazi kwa bidii na bila kuchoka wala kukataa tamaa, vitu vizuri utaviona kwa wengine tu huku ugumu wa mashia uliondamana na kufuatilia utajiri na maisha ya watu vikikuamdama maisha yako yote.
work hard gentleman hutojuta wala kupata muda wa kufuatilia wengine🐒
do it tiredlessly gentleman, you won't regret 🐒.....Work Hard but Smart.... !!!
Ajabu ni kwamba sisi mafukara tunawakimbilia na kuzidi kuwapa sadaka na kuwatajirisha zaidi.Wengi ni wauza ngada au biashara zingine haramu, dini kinakuwa ni kichaka cha kufichia biashara yake au kutakatishia pesa.
Chunguza utakuja kuniambia.
Ila uzuri ni kwamba hajamuibia mtu.ana makaratasi yote aliyoagizia na mtirirko wa fedha zote inajulikana alikopata.Kuna nini kwenye haya makanisa au Kuna Siri Gani imejificha? Nimeamua nikae siriaz Sasa nifikirie nikachukue nguvu za upako na Mimi nifungue ministry yangu.
Huyu naye anaitwa Apostle Ama pasta DALE.....angalia baadhi ya magari ya kifahari aliyonayo..ni hizi hizi sadaka zetu makapuku?
Jamaa unaaambiwa ana ndinga Kali zote za bei mbaya na mpya..hakuna gari chini ya mwaka 2023..kuna g wagon Moja nimeenda kucheki bei gari inauzwa milioni 900..aisee ..hapana...siwezi kufa masikini kwenye hii nchi ya maziwa na asali. NEVER
Wanasema kosa sio kuzaliwa masikini, kosa kufa masikini.View attachment 3231892