Utajiri wa Apostle DALE

Utajiri wa Apostle DALE

Jumapili hii nikasali kwa Mtumishi wa Mungu Apostle RevLucyNatasha.... September to remember!

Ama kwa Christina shusho Tiptop manzese

Ama kwa Apostle Lilian ndegi living water center makuti kawe,
 
bila kuacha uvivu na kufanya kazi kwa bidii na bila kuchoka wala kukataa tamaa, vitu vizuri utaviona kwa wengine tu huku ugumu wa mashia uliondamana na kufuatilia utajiri na maisha ya watu vikikuamdama maisha yako yote.

work hard gentleman hutojuta wala kupata muda wa kufuatilia wengine🐒
.....Work Hard but Smart.... !!!
 
Hamna Lugha nyingine zaidi ya kusema wanafanya sana Biashara za madawa, utakatishaji wa Pesa .

Yaan Kwa akili ya kawaida kabisa , Hawa watu wàna waumin wachache, kwamba hao waumini ni mabilionea Kwa uchache huohuo kiasi Cha kufanya Mtume Na nabiii aendeshe gari la Milion 900?.
 
Wengi ni wauza ngada au biashara zingine haramu, dini kinakuwa ni kichaka cha kufichia biashara yake au kutakatishia pesa.
Chunguza utakuja kuniambia.
 
Wengi ni wauza ngada au biashara zingine haramu, dini kinakuwa ni kichaka cha kufichia biashara yake au kutakatishia pesa.
Chunguza utakuja kuniambia.
Ajabu ni kwamba sisi mafukara tunawakimbilia na kuzidi kuwapa sadaka na kuwatajirisha zaidi.
 
Kuna nini kwenye haya makanisa au Kuna Siri Gani imejificha? Nimeamua nikae siriaz Sasa nifikirie nikachukue nguvu za upako na Mimi nifungue ministry yangu.

Huyu naye anaitwa Apostle Ama pasta DALE.....angalia baadhi ya magari ya kifahari aliyonayo..ni hizi hizi sadaka zetu makapuku?

Jamaa unaaambiwa ana ndinga Kali zote za bei mbaya na mpya..hakuna gari chini ya mwaka 2023..kuna g wagon Moja nimeenda kucheki bei gari inauzwa milioni 900..aisee ..hapana...siwezi kufa masikini kwenye hii nchi ya maziwa na asali. NEVER

Wanasema kosa sio kuzaliwa masikini, kosa kufa masikini.View attachment 3231892
Ila uzuri ni kwamba hajamuibia mtu.ana makaratasi yote aliyoagizia na mtirirko wa fedha zote inajulikana alikopata.

By the way msikilizeni awape maarifa ili nanyi mpate fedha za kununulia magari
 
Mi simfahamu huyu apostle, ila nilisikiliza interview ya Nabii Mkuu Jeodavie na Kikeke juu ya utajiri wake. Akasema
1-sadaka zinazopatikana kila jumapili hazizidi 5m maana ana waumini wenye maisha ya kawaida sana.
2- pesa zake nyingi zinatoka nje ya nchi kutoka vyanzo alivyovitengeneza miaka mingi.
Bottom line,
Kwa sadaka pekee si rahisi kuwa na utajiri huo (mpaka udundulize ifike 900m ununue gari moja ni parefu sana) kumbuk pia wanaoenda makanisa haya wengi tayari wamepigika sana
Hivyo, hawa watu wana SIRI, lakini hiyo SIRI hawawezi kuiweka wazi. So kama unatamani kupata hivyo vitu, ni lazima na wewe utengeneze SIRI yako.
 
Kanisa lisilo na upakwaji wa mafuta mtumishi anachukua nyota za waumini nakuwaacha tupu
 
Nabii
Screenshot_20250228-135936.jpg
 
Back
Top Bottom