utajiri wa diamond kuanikwa forbes...

utajiri wa diamond kuanikwa forbes...

I don't compete with non educated people,go and upgrade your education level,elimu yenyew diploma sijui cheti,halafu u pretend to know more while u are just bogus with empty mind..
 
Kichwa cha hbr km MAGAZETI PENDWA duh co mby ila FORBES sio kiu mtani au sani usiendeshe prado ukadhani utakuepo...namtakia heri awepo ila ni shughuli pevu.
 
Nay wa Mitego alisemaga "me natengeza hela wao wananuka vikwapa" . . Fvck haters
 
I don't compete with non educated people,go and upgrade your education level,elimu yenyew diploma sijui cheti,halafu u pretend to know more while u are just bogus with empty mind..

Hivi haka kajamaa kana akili kweli yaan umeona humu jf ndo pa kujivinia kaelim kako ka kuungaunga, eti I don't compete with non educated - nyambafu elimu yako kwa mke wako we unadhan Forbes ni kama magazet yako ya shigongo.
 
Mpaka umeingia jf I trust una internet connection so make use of it.....kiukweli hata kwenye top 50 ya matajiri wa AFRIKA waliotangazwa na forbes PSquare hawapo though ni moja kati ya wanamuziki matajiri kwa sasa hapa AFRIKA....wabongo waliokuwemo forbes ni wa3 tu (at least ninaowajua kwa top 50) Mengi akiwa wa 34 na mkwanja mrefu wa 550M za marekani,then bhakresa na dewji wakiwa na 500M za marekani....kwa ndugu yetu huyu wa hapa tandika,atahitaji vingi sana ku appear forbes,ikiwemo Kuwa na uwezo wa kuuza album na kufanya shoo nyingi za kimataifa za level ya juu kwa miaka kadhaa bila kushuka na labda hiyo pesa akawekeze sio kwa vibinti but kwenye makampuni.Otherwise labda aende Freemason...kila la kheri!
 
Aaah aaah mkuu watu wengi wanaogopa kufanya vitu ambavyo wengine hawakuweza kufanya,ila ukiwa na decision with dreams mbona inawezekana,usiseme fulani mbona kashindwa,uko ni kujidharau bhna,kama tumeweza kutoa mabilionea tanzania kwenye forbes kwa nini na yeye au mimi na wewe kama tukitak tushindwe??, kila kitu kinawezekana,uwoga wako ndo umaskini wako,naamini diamond wa miaka ya nyuma sio yule tena, he is another person with another status, mi I do believe in myself and God,Lazima tujifunze kufanya vitu ambavyo wengi wameshindwa kuvifanya na uo ndo ubunifu anaoufanya diamond au hata wewe ukitak kufanya utakuwa level nyingine kabisa only kama ukikubal kuwa unaweza upo??
 
Warumi,Money stunna na Heaven on Desert nadhani mtu mmoja. Topic zao ovyooooo............
 
Pantharaleo,ahsante kwa kufuatilia thread zangu japkuw za ovyo..
 
Mwanzoni ulikuja vizuri,ila sasa hivi umekuwa na thread za ajabu sana.
 
Hayo yanawezekana...........akipata mikataba minono ya kampuni kubwa.........muhimu aendelee kukaza...hakuna lisilowezekana chini ya jua.
 
Yah,true bro nothing is impossible,ni maamuzi tu na kufanyia kazi ndoto zako
 
Mmmh nimecheka sana! Hivi unadhani hata kwenye the List of richest people in Tanzania yupo? Wanasiasa wana HeLa wafanyabiashara unaowajua wewe hawapo sembuse na HeLa yake ya kununua prado na kufanya part? Gari ya Kimei anaweza kumiliki? Anaweza kununua nyumba Dubai kama Mbowe? Ana comercial building kama Manji ambaye nae hayumo? Ana HeLa kuliko David Mosha?

Body without head
 
Kwani hizo pesa walizaliwa nazo?? Au mbowe hiyo nyumba ya dubai alizaliwa akaikuta??,kama jibu ni hapana basi kila kitu kinawezekana chini ya jua,kama tu ukiamua,halafu kijana acha kuishi kwa kujilinganisha,itaku cost sana maisha yako,usiangalia fulani kafanya nini,jiangalie wewe umefanya nini
 
Halafu diamond he is just twenty something hata 30 hajafika,utamlinganisha vipi na hao wazee wenye miaka 50 na kuendelea??,ndo maana nikasema kama akifanya poa he can be among those richest people,kwanza he is young so he has a chance to win kaka,huwezi kumfananisha na wazee,wenyew wameanza kufanikiwa wakiwa wazee,diamond kaanza kufanikiwa while he is just tweny something
 
Kwani hizo pesa walizaliwa nazo?? Au mbowe hiyo nyumba ya dubai alizaliwa akaikuta??,kama jibu ni hapana basi kila kitu kinawezekana chini ya jua,kama tu ukiamua,halafu kijana acha kuishi kwa kujilinganisha,itaku cost sana maisha yako,usiangalia fulani kafanya nini,jiangalie wewe umefanya nini

Wewe ni boya kabisa, utajili wa Mbowe, Manji na Mohammed Dewji ni pesa za kurithi, wamezaliwa wamezikuta kilaza wewe.
 
Back
Top Bottom