Utajiri wa Diamond Platnumz...

Huu uzi mbona kama unaelea?... Hujatwambia anamiliki vitu gani, na vina thamani gani! Mbona kama tunalishwa kamba kuliko uhalisia unaofahamika kumhusu huyu kijana?
Wakati mwingine nitataja barabara,
 
Hii inawasaidia nini wanangu?
 
Frumence M Kyauke Inajulikana kabisa diamond ni tajiri Hilo halina doubt lakini uandishi wako umeandika ujajitosheleza kama vile umeishia njiani kwa kifupi ujajipanga tulitegemea uweke vyanzo vya mapato alivyonavyo mf. Label yake ya Wasafi au mapato ya shows, Wasafi media au malipo ya kuwa ambassador wa makampuni n.k
 
Asante sana kwa kufafanua kwa upana,wakati mwingine taarifa zitajitosheleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…