mkono wa nyoka
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 334
- 54
Usijilinganishe na mtoto wa kike ukasema eti ni fighter la hasha,Demu leo masikini kesho akikalia mashine ya zwazwa anaweza ongwa mamilioni.
Halafu hayo magazeti yako ya rangi rangi si ya kuyaleta Kama source ya habari.
Wema Sepetu ameuza filamu akanunua Renge Rover sports brand new???
Ama kweli Wanawake sio wenzetu...leo gazeti la mwananchi wameandika kuwa Shose Sinare ambae ni.miss Tanzania anahusika na ufisadi wa Trillion 1.2!
duuhh kukalia zwazwa huko sio ni kutakiana mabaya
Mtoa mada inabidi na yy akakalie mashine ya zwazwa ili ahongwe mamilioni ili achapishwe kwenye hilo gazeti la rangi rangi.
Mazwazwa aka Manyumbu ya Mapenzi yapo mengi tu mjini,Akidatishwa na Mchina wa ngozi na kalio anatoa funguo ya Gari na nyumba mbezi beach.