Utajiri wa DJ Fety

Utajiri wa DJ Fety

mkono wa nyoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
334
Reaction score
54
Kwa kweli Mungu anajalia mtu yeyote mradi kujituma na kujipanga kwako haijalishi ulikuwa wapata hela ndogo sana ninachoamini mimi hata kama unalipwa hela ndogo sana na wewe ukawa una malengo mambo yako yataenda vizuri.

Hongera sana DJ Fety mtangazaji wa zamani wa Clouds FM.
 
Attachments

  • 1448947219498.jpg
    1448947219498.jpg
    52.5 KB · Views: 3,680
We na akili zako unasoma gazeti hilo
 
Duuh gazeti linaitwa filamu na wewe umeliamini haaah
 
Ila haya mambo bana, wenzetu wanazaa watoto wakike wanao escalate tu dah....
 
Usijilinganishe na mtoto wa kike ukasema eti ni fighter la hasha,Demu leo masikini kesho akikalia mashine ya zwazwa anaweza ongwa mamilioni.

Halafu hayo magazeti yako ya rangi rangi si ya kuyaleta Kama source ya habari.
 
Mleta uzi, hv wapi Dj Fetty anaweza pata utajir wa kiasi hicho,
 
Mleta mada uwe unaangalia vyanzo vya taarifa...au upeleke upuuz wako huko Facebook
 
Usijilinganishe na mtoto wa kike ukasema eti ni fighter la hasha,Demu leo masikini kesho akikalia mashine ya zwazwa anaweza ongwa mamilioni.

Halafu hayo magazeti yako ya rangi rangi si ya kuyaleta Kama source ya habari.

Mtoa mada inabidi na yy akakalie mashine ya zwazwa ili ahongwe mamilioni ili achapishwe kwenye hilo gazeti la rangi rangi.
 
Wema Sepetu ameuza filamu akanunua Renge Rover sports brand new???

Ama kweli Wanawake sio wenzetu...leo gazeti la mwananchi wameandika kuwa Shose Sinare ambae ni.miss Tanzania anahusika na ufisadi wa Trillion 1.2!
 
wa mwaka 1996?
 
Kama habari yako ni ya ukweli,basi atakuwa keshalikali dudu la jipu moja kati ya majipu mengi yaliyo katika foleni ya kutumbuliwa na Magufuli.
 
Akili za kushikiwa hizi, mtu akimiliki nyumba na gari tayari ameshakuwa tajiri?
 
Fetty mtamu kichizi.. Mtoto wa kisukuma anaejua kutumia mgagani.
 
Sasa hivi inabidi aolewe na Bakhresa wote matajiri wakiwa kitandani usiku wanashauriana kuhusu mabilioni yao.
 
Mhhh kutoka kwenye IST mpaka kutembelea gari kama la Mayweather aiseee hivi wanao amini haya magazeti ya Shigongo ni watanzania wa Mkoa upi ? Bila shaka ni dodoma ,inaelekea Fetty katumia Fursa vizuri ya serikali ya Jk maana alikua anamkamua Ben Sitta
Jumba kama la Diamond ,Mwananyamala kahama lini ??
Kwanza ni gari ipi ya Maywether maana alivyo na sifa Buggati anazotumia mbili kati ya alizonazo ni limited edition na zimetengenezwa mbili tu kama sijakosea
 
Back
Top Bottom