BIG STONE AND CONER STONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 421
- 728
Unajua inahitaji research ya kweli independently Hao wazungu ni kawaida Yao kupigia chapuo uwongo wao na kuwalisha jamii.Sawa, Tupe data za kweli sasa.
Hivyo Elon Anataka utajiri uongezeke na ili uongezeke zaidi ni kufanya nn
Anaongea na hao watu wa statistics wanaisha uwongo Kisha matajiri na makampuni yananunua hiza kampuni zake kwa bei kubwa na haraka.. Kisha baada ya mienzi kadhaa au mwaka 1 anakuwa na huo utajiri kweli maana anawauzia kwanza uwongo.
Mkisha mwamini mnawekeza pesa kwenye hiza za kampuni zake huenda Anataka kuuza hiza zake kwa bei mbaya Ila watu wengne mkipewa habari mnameza kama kinda la ndege ambalo Humeza chochote kinachoweka mdomoni mwake Bila kufungua macho.