Utajiri wa Funza

Vijana mtaolewa fanyeni kazi
Semeni masharti yote bado hamjasema

Sisi tunaotoa sadaka mpaka kwa yatima mwisho mtasema tunatoa kafara pia

Hakuna hela za bure dunia hii fanyeni kazi lazima muwe wabunifu mkishindwa basi muungane mfanye kitu cha maana
 
Hakuna tajiri halali....
Hat Kama so mshirikina, Basi Ni jambazi au halipi Kodi.
 
Hii version ya tatu inawafaa sana makuchu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…