Lignocaine
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 290
- 738
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhaha.. Umenifanya nicheke Kwa sautiBinamu kwann lakini unanipa shida hivi!
Unajua kabisa kuwa hii January halafu unaniletea kinge kwann lakin?
Tuje kwenye huu udambu dambu!
HUYU NA WENZIE WOTE AKILI ZAO NI KUTAJA WANAOWAVALISHA!
ARISTOTLE anavomrusha anaona yeees !
ILA NAWAZA NYWELE YA MILIONI TATU KILA WIKI!
like seriously kweeeeli?
HATA KAMA SIO tatu!, IKIWA HATA MOJA!
so kwa mwezi m4, anaweka kichwani tu!
BADO nguo , viatu, pochi!
jamani hta kama ni mwanaume anakupa hela , ina maana ana KISIMA UNAZICHOTA TU?
sawa zipo!
na una access nazo!
THE LEAST SHE CAN DO NI KUBEBA KUNDI LA WATU KUWANYWESHA MOET HOTELI YA KIFAHARI?
ili tu usemwe una hela?
MAARDHI YOTE YALIYOJAA TANZANIA HII!
SI ANUNUE TU HEKA 30 MAHALI, well labda kanunua!
SI AYAPIME AYAUZE HATA 20/20, ili aendelee kuwa na mfereji wa kuzitumbua?
MMH! ila hebu niwe thinned na ya kwangu!
mbn kama nimepanick hiv?
ITAKUWA TU NI HII WALLET ISIYO NA HATA BUKU!
Hapo ndio mwisho wako wa kufikiriWell , she is not as rich as the title implies , it's just a spicy [emoji5]. Irene uwoya nowadays seems to live a lavish lifestyle , ambapo rumor has it kuwa , bi dada is hanging out with one of the successful business man in the country. Well this issue of wasanii kuhongwa it's not a new topic ,it has been there for ages , we have seen previous exquisite lifestyle of wema sepetu she used to have, who doesn't remember Tunda? , aunty Ezekiel , Jackine wolper , you name it , the list is infinity. The question is , have you seen the aforementioned current lifestyle?, where are they? , and what are they doing? , nothing.
Honestly , Mimi mtu yeyote ambaye sijui is wearing Gucci, Versace and all those branded clothing , with IPhones and driving fancy cars , kama kichwani hakuna kitu , I rate you zero , na hii ndio mastaa wetu wengi wa bongo walivyo , they don't strive to better themselves for their mentally , emotionally and intellectually growth . Wamekaa tu kudanga , hawana akili ya biashara , wamezubaa, watafungua duka la biashara Leo , kesho linefungwa, you tube , kuna business courses nyingi tu mtu unaweza kuingia na kujifunza, hata pale mliman wanatoa course fupi za biashara, Ila watu hawataki kujifunza, wanawaza umalaya tu na hawataki kufanya kazi.
Imagine a beautiful lady like uwoya , alivyobarikiwa uzuri wa nje, akivaa anapendeza, shepu ya uhakika , Ila anza sasa kuongea nae , yani kichwani hamna kitu , anacheka cheka tu mda wote, kujielezea hajui, Hana communication skills nzuri na hajiamini, she is ignorant and naive.
Sijawah Kusikia hawa mastaa wetu wa bongo wakipata madanga walau waseme warudi shule au kujiendeleza tu na course mbali mbali ndani au nje ya nchi just kupata exposure and insight kuhusu vitu mbali mbali duniani , wenyewe wanashindana kuvaa, magari na kuishi nyumba za kupanga, wakiachwa wanafukuzqa na kupokonywa kila tu wanabakia na I phone tu
Angalia wenzenu wakenya akina huddah na Vera wanavyodanga kimataifa na maendeleo yao , coz wanajielewa, wako smart sana kichwan na hawajasoma tu kama nyie , Ila in general wakenya wako smart sana kichwan ku compare na mademu wa Tz. Wale hawajiuzagi kwa wanaume wa ajabu ajabu, na sio kenya , wanasafiri dunia nzima . I'm not encouraging umalaya, but if ukiamua kujiuza that's your life choice , who am I to judge? Ila ndo mfanye na ya maana , wakina huddah wana makampuni yao na juzi alikua South Africa akizindua company yake Mpya achilia mbali huddah cosmetics .
Wenzenu wanapiga endorsement za maana , nyie wabongo nani atawachukua? Mmekaa kihasara hamjielewi, yani life style ya Tanzanian celebrities are so pathetic especially hawa so called divas , utumbo mtupu, miaka nenda Rudi , hawaendelei, sijui nani kawalaani? , mmeshindwa kujifunza hata kwa zari ? Mnadhani zari Ana elimu kubwa kihivyo? Ila ona alipofika sasa hvi ?
Zari na yeye alikua mdangaji kama nyie tu , mwangalieni alipofika leo ? , kwa sababu alidanga kwa akili , Now anajisimamia mwenyewe na makampuni yake , co anajielewa, zari tofauti yake na nyie ni akili tu , nyie hamna, mmekalia umbea na majungu.![]()
Sent from my iPhone using JamiiForums
Zari angekua kama akina wema , angekua kashafulia sasa hivi , Yule demu Ana akili sana , mjanja, yan hawa mademu wakishapewa pesa kidogo tu na kuambiwa I love you wanajisahau kabisaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Well , she is not as rich as the title implies , it's just a spicy [emoji5]. Irene uwoya nowadays seems to live a lavish lifestyle , ambapo rumor has it kuwa , bi dada is hanging out with one of the successful business man in the country. Well this issue of wasanii kuhongwa it's not a new topic ,it has been there for ages , we have seen previous exquisite lifestyle of wema sepetu she used to have, who doesn't remember Tunda? , aunty Ezekiel , Jackine wolper , you name it , the list is infinity. The question is , have you seen the aforementioned current lifestyle?, where are they? , and what are they doing? , nothing.
Honestly , Mimi mtu yeyote ambaye sijui is wearing Gucci, Versace and all those branded clothing , with IPhones and driving fancy cars , kama kichwani hakuna kitu , I rate you zero , na hii ndio mastaa wetu wengi wa bongo walivyo , they don't strive to better themselves for their mentally , emotionally and intellectually growth . Wamekaa tu kudanga , hawana akili ya biashara , wamezubaa, watafungua duka la biashara Leo , kesho linefungwa, you tube , kuna business courses nyingi tu mtu unaweza kuingia na kujifunza, hata pale mliman wanatoa course fupi za biashara, Ila watu hawataki kujifunza, wanawaza umalaya tu na hawataki kufanya kazi.
Imagine a beautiful lady like uwoya , alivyobarikiwa uzuri wa nje, akivaa anapendeza, shepu ya uhakika , Ila anza sasa kuongea nae , yani kichwani hamna kitu , anacheka cheka tu mda wote, kujielezea hajui, Hana communication skills nzuri na hajiamini, she is ignorant and naive.
Sijawah Kusikia hawa mastaa wetu wa bongo wakipata madanga walau waseme warudi shule au kujiendeleza tu na course mbali mbali ndani au nje ya nchi just kupata exposure and insight kuhusu vitu mbali mbali duniani , wenyewe wanashindana kuvaa, magari na kuishi nyumba za kupanga, wakiachwa wanafukuzqa na kupokonywa kila tu wanabakia na I phone tu
Angalia wenzenu wakenya akina huddah na Vera wanavyodanga kimataifa na maendeleo yao , coz wanajielewa, wako smart sana kichwan na hawajasoma tu kama nyie , Ila in general wakenya wako smart sana kichwan ku compare na mademu wa Tz. Wale hawajiuzagi kwa wanaume wa ajabu ajabu, na sio kenya , wanasafiri dunia nzima . I'm not encouraging umalaya, but if ukiamua kujiuza that's your life choice , who am I to judge? Ila ndo mfanye na ya maana , wakina huddah wana makampuni yao na juzi alikua South Africa akizindua company yake Mpya achilia mbali huddah cosmetics .
Wenzenu wanapiga endorsement za maana , nyie wabongo nani atawachukua? Mmekaa kihasara hamjielewi, yani life style ya Tanzanian celebrities are so pathetic especially hawa so called divas , utumbo mtupu, miaka nenda Rudi , hawaendelei, sijui nani kawalaani? , mmeshindwa kujifunza hata kwa zari ? Mnadhani zari Ana elimu kubwa kihivyo? Ila ona alipofika sasa hvi ?
Zari na yeye alikua mdangaji kama nyie tu , mwangalieni alipofika leo ? , kwa sababu alidanga kwa akili , Now anajisimamia mwenyewe na makampuni yake , co anajielewa, zari tofauti yake na nyie ni akili tu , nyie hamna, mmekalia umbea na majungu.![]()
Sent from my iPhone using JamiiForums
Binamu siku hizi na viinglish vyako unanichosha kichwa ujue.. Mi hapa nawaza mambo kibao Sasa ukichanganya na hiki kimalkia chako basi hoi... Happy new year to you dear
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi hua najiuliza swal hilohilo
Anapata wapi pesa ya bata lote lile!?
Nakakubali kalulu michael ana akil anadanga kwa faida
Sio hawa mazimbukuku kina wema kila siku wanafukuzwa house rent hawana kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwandiko mbovu lugha mbovu ukiandika kiswahili tutajua hujasoma au badilika wewe
' i Rate You Zero'
Sent using Jamii Forums mobile app
Daktar / DaktariI wish you a quick recovery , maumivu yakizid, muone daktar
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hamna namna Bina, inabidi nijikaze tu maana umbea naupenda[emoji23] [emoji23]Jikaze c kwa ubaya, Happy new binamu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa taarifa nilizo nazo wema ana duka lake hapo kinondoni koma koma na Mara kadhaa ijioni utamkuta hapo.Binafsi hua najiuliza swal hilohilo
Anapata wapi pesa ya bata lote lile!?
Nakakubali kalulu michael ana akil anadanga kwa faida
Sio hawa mazimbukuku kina wema kila siku wanafukuzwa house rent hawana kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
She is damn beautiful. What she lacks in the brain, is exceedingly compensated in her looks.Well , she is not as rich as the title implies , it's just a spicy [emoji5]. Irene uwoya nowadays seems to live a lavish lifestyle , ambapo rumor has it kuwa , bi dada is hanging out with one of the successful business man in the country. Well this issue of wasanii kuhongwa it's not a new topic ,it has been there for ages , we have seen previous exquisite lifestyle of wema sepetu she used to have, who doesn't remember Tunda? , aunty Ezekiel , Jackine wolper , you name it , the list is infinity. The question is , have you seen the aforementioned current lifestyle?, where are they? , and what are they doing? , nothing.