Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dduhh. DisgustingNilishakuja na uzi apa unaohusu aina za utajiri ambazo ni common Tanzania ukiwemo utajiri ambao mtu anapewa kidonda ambayo kadiri kinavoongezeka ndo pesa inaongezeka
Ila amini kwamba shetani awezi kukuacha utumie pesa zake bila mateso[emoji23][emoji23]
Finally nimekutana na jamaa ambaye alichukua utajiri huo, pesa kweli anayo lakini hicho kidonda kinavonuka kudadeki asikwambie mtu.
Jamaa hapendezi yaani yupo yupo tu[emoji23] nguo izo izo siku tatu.
Ni hovyo tu, tutafute hela wajumbe katu usifikiri kuna pesa ya rahis rahisi
Ni dhahiri unaona jamaa hafurahii ile pesa.
Kwenye maumivu na harufu umedanganya...kikiuma na kuvuta ujue pesa inakuja kwa speed...na harufu inakuwepo ila sio kaliNiweke sawa hapo kidogo... wengine wana vidonda ila vimefichwa.
Wanavaa vizuri tu na huwezi kugundua wala kujua kama wana vidonda vya kishetani na inasenekana hawasikiagi maumivu wala hakuna harufu... inakuwa siri ili watu wasigundue.
We MPUMBAVU nimesema "INASEMEKANA"Kwenye maumivu na harufu umedanganya...kikiuma na kuvuta ujue pesa inakuja kwa speed...na harufu inakuwepo ila sio kali
Nzi mtegee mavi, ni njaa zao ndo huwasukuma kufanya kazi popote😀😀 mwisho wa siku unakua trapped kwenye mtego wa ibilisiUnakuta jitu halijasoma na halina ujuzi wowote lina utajiri wa kutisha, linaajiri wasomi na wenye ujuzi kwa kuwalipa mshahara linaotaka. Cha kutilia mashaka utajiri wake kwenye miradi yake kunakuwa na mambo ya ushirikina na masharti fulanifulani ya giza kumbe ni utajiri wa kishetani
Nadhani kuna sehemu ambapo shetani anatumia kumuadhibu🤣🤣 kupitia hiko kidondaYupo rafiki yangu mmoja alikuwa na kidonda (Sio kikubwa sana), hicho kidonda ni Cha miaka nenda rudi hakiponagi tu, tulikuwa hatujajua shida nini! Lakini baada Kuna uvumi ulienda jaama anapoga pesa na hicho kidonda chake
Mpaka leo yupo anapeta tu na kidonda chake.
Kamuweka mtoto wa ke front line?🥺🙀Ndio maana hayo mateso yanahamishiwa kwa mtu mwingine na tajiri anabaki na raha zake. Kuna jamaa alimpa mtoto mateso ya "funza" mwili mzima. Yaaani acha tu!! Yeye anapeta tu kwenye viti virefu baa.
Sinajua siko exposed sana na hayo makitu, acha wajuzi wakwambieNiweke sawa hapo kidogo... wengine wana vidonda ila vimefichwa.
Wanavaa vizuri tu na huwezi kugundua wala kujua kama wana vidonda vya kishetani na inasenekana hawasikiagi maumivu wala hakuna harufu... inakuwa siri ili watu wasigundue.
As long as hatujui baridaa✊🏾Utajiri wa madonda hasa kwa wale wapikaji masupu wanaohusika na mifugo au biashara yake!, (sharti moja wapo yale maji ya kuoshea kidonda lazima yamwagiwe kwenye chakula au kudekia kwenye biashara yake) Upumbavu mtupu huu, pia walaji manjiani tunakula mengi sana mungu atunusuru.