Utajiri wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’

shamba unakodi haliwi la kwako na hiyo nyumba ya kijijini ni ya familia sio yake, kuhusu uchungaji mi sijui ila nachojua ni kwamba uchungaji lazima uingie darasani , huyu anatafuta pesa tu sio mlokole wala nini, mlokole gani anavaa nguo za kike anapoigiza
 

Punguza jazba kidogo hata kama alikodi mladi si kavuna na kupata pesa za kutosha.

Hiyo nyumba familia ilikuwa wapi sikuzote wasijenge mbona mwenyewe kajenga na kusema kanyumba kangu ka nyumbani huko Mbalizi mbeya... hata kama ni ya familia na ile ya ghorofa ya tabata nayo ni ya familia?

Huo uchungaji nyie mnampaisha mwenyewe kesha sema kuwa yeye ni mchungaji mtarajiwa, alafu hii dhana ya kusema mchungaji mpaka aende darasani hivi Mitume na Manabii wa zamani walienda vyuo gani?
Mungu mwenyewe alimwambia Yeremia "Kabla haujaumbwa nalikujua ungali tumboni mwa mama yako nalikutakasa, nilikuweka huwe nabii wa mayaifa" Yr 1:5 so kama wewe ni mteule utakuwa tu no matter what.
 
Aoe sasa atulie. Bado kijana mno lazima anahitaji kupiga bao, hata sasa sijui anaishije kumtumikia Mungu bila hiyo kitu
 
qn of sheba;

mkuuu hiyo nyumba ni ya familia hajajenga yeye, alichofanya ni kukarabati
 
Last edited by a moderator:
Nishasikia na ye anauza sembe japo si nyingi,sa cjui kweli...
 
Kilimo+kampuni ya ulinzi+uigizaji+deal za matangazo+ubahili tuu vinamtosha kuwa na utajiri huo na zaidi na zaidi
 
Ni ujasiliamali mzuri, ahongere. Ila hapo kwenye uchungaji sioni kama panamfaa maana kimtokacho mtu ndio kilichoujaza moyo wake! Yale material anayotoa kwa kweli wakati mwingine ni chukizo kwa Mungu. Simuhukumu ila Biblia inakataa kuwa vuguvugu! Mavazi, mitindo ya nywele, maneno na mizaha si jambo jema kwa mtumishi halisi wa Mungu. Soma Zab 1:1 Mungu anasema heri mtu asiyeketi barazani kwa wenye mizaha!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
nani kakwambia mi nina ujinga huo wa kutoa sadaka kwa matapeli?kwani uongo hachangishi watu sadaka?kufilisika kwake kunanihusu nini mimi?unajua maana ya kufilisika?

Dude; It takes one to know one.................
 
Safi sana ni kijana ambaye ni mfano wa kuigwa, najua atakuwa amewaajiri watu wengi sana hasa vijana wenzake na kama ningepata nafasi kumshauri ningemwambia aendelee na kujitunza vema ili Mungu aendelee kumpa u
hekima na busara lakini uwezo huo wa kuajiri vijana wenzake ambao kwao wuala ajira limekuwa tatizo, Mungu ambariki sana.
 
nani kakwambia mi nina ujinga huo wa kutoa sadaka kwa matapeli?kwani uongo hachangishi watu sadaka?kufilisika kwake kunanihusu nini mimi?unajua maana ya kufilisika?

We jamaa una hasira sana.
Unatamaaaani ungekuwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…