Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Good...!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sembe kazini
shamba unakodi haliwi la kwako na hiyo nyumba ya kijijini ni ya familia sio yake, kuhusu uchungaji mi sijui ila nachojua ni kwamba uchungaji lazima uingie darasani , huyu anatafuta pesa tu sio mlokole wala nini, mlokole gani anavaa nguo za kike anapoigiza
mhhh hakuna mchungaji pale usani mtupuAoe sasa atulie. Bado kijana mno lazima anahitaji kupiga bao, hata sasa sijui anaishije kumtumikia Mungu bila hiyo kitu
nani kakwambia mi nina ujinga huo wa kutoa sadaka kwa matapeli?kwani uongo hachangishi watu sadaka?kufilisika kwake kunanihusu nini mimi?unajua maana ya kufilisika?
Sembe kazini
Songa mbele masanja, acha wanaololoma waendelee kuloloma
Ila sasa tafuta mke uoe
nani kakwambia mi nina ujinga huo wa kutoa sadaka kwa matapeli?kwani uongo hachangishi watu sadaka?kufilisika kwake kunanihusu nini mimi?unajua maana ya kufilisika?
Sembe kazini