Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Songa mbele masanja, acha wanaololoma waendelee kuloloma
Ila sasa tafuta mke uoe
na sadaka za waumini zinachangia kwenye utajiri..kweli dini zimeingiliwa
Ningejua tu ataenda kumtaftia kipande kipi ili nitangulie huko
Hard wok pays..acha wengine waendelee kuwea heshima bar!
Hebu acha kutoa hizo sadaka tuone kama atafilisika
unajua hata bill gates hakuibuka tu from nowhere...!!
Mr manji, kafanikisha yote hayo. Ongera dogo!
we kalagabaho,Bill gates ulimtoa unga?..mbona mnaanza kuchanganya mambo?
nani kakwambia mi nina ujinga huo wa kutoa sadaka kwa matapeli?kwani uongo hachangishi watu sadaka?kufilisika kwake kunanihusu nini mimi?unajua maana ya kufilisika?