Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 643
- 1,016
Ndg Wana jamvi,
Kumekuwa na malalamiko mengi kwa mabasi na magari mengi yanayo pita njia hii ya SEGERA Chalinze kutokana usumbufu wa Polisi huyu.
Anatuhumiwa kwa kulazimisha kupewa rushwa na kubambikia watu makosa hata kuwawekea madereva wa mafuso mirungi, na kudai rushwa kubwa.
Watu wamefatilia Mali anazomiliki haziendani na muda aliohudumu kazi I na cheo chake cha koplo. kwa haraka haraka anamiliki magari ya kifahari TOYOTA PRADO, SUBARU FORESTER Nyumba mbili za kifahari kwa cheo cha Koplo.
Tume ya maadili hebu wachunguze tuhuma hizi za madereva wanaopita njia hii ya SEGERA / CHALINZE .