polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Sio watafutaji bali ni weziHuyo jamaa ni mchaga. Wachaga ni watafutaji! Acha uboya , piga kazi dogo!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio watafutaji bali ni weziHuyo jamaa ni mchaga. Wachaga ni watafutaji! Acha uboya , piga kazi dogo!!!
Wewe ni jinga kweli ,anapambania maisha kwa kuumiza wengine? Hakuna mtu anae pambania maisha kwa kuumiza wengine halafu tumuite mtafutaji, huyo ni muuajina mwiziAtakuwa kakuchukulia demu si bure si kwa chuki hizo. Yeye anapambania maisha ya familia yake na yeye siyo chanzo cha umaskini wako. Tafuta hela nchi hii ina fursa nyingi acha makasiriko hakuna aliyetoboa kwa chuki. Uvivu wako majungu yako roho mbaya yako chuki zako ndiyo umaskini wako. Ongea na watu vizuri huenda hali yako ngumu ya maisha utatuzi wake ni mdogo sana
Kwa rushwa ya barabarani, huwezi ukawa na mali zote hizo. Yawezekana ni mtafutaji kwa njia nyingine, urithi au uporaji, lakini sio rushwaAnatuhumiwa kwa kulazimisha kupewa rushwa na kubambikia watu makosa hata kuwawekea madereva wa mafuso mirungi, na kudai rushwa kubwa. ... kwa haraka haraka anamiliki magari ya kifahari TOYOTA PRADO, SUBARU FORESTER Nyumba mbili za kifahari kwa cheo cha Koplo.
Tume za Tanzania zina mwadilifu? Taja hata mmoja kama mfanoTume ya maadili hebu wachunguze tuhuma hizi za madereva wanaopita njia hii ya SEGERA / CHALINZE
Huzijui rushwa za barabarani,sababu unatoa elfu tano bac akili yako inazania watu wote ndo rushwa wanazotoa.Kuna watu wanabeba mizigo ya magendo,kuna watu wana mizigo isiyo na docs zozote,kuna wanaobeba nyara za serikali.we unadhani traffic wa highway akikamata gari anaangalia leseni na sticker ya nendaKwa rushwa ya barabarani, huwezi ukawa na mali zote hizo. Yawezekana ni mtafutaji kwa njia nyingine, urithi au uporaji, lakini sio rushwa
Afuatiliwe na Nani? Acheni chuki Kwa wapambanaji.Huyo mpuuzi ni wa kumtegeshea video na pesa ya moto, tuhuma kama hizi sio za wivu huyo bwege afatiliwe haraka sana
Atafute kwa njia ya haki sasa. Na siyo hiyo ya kudhulumu hela za watu. Ngoja aingie kwenye 18 zangu! Nitamgeuza kuwa mbwa kudadek zake.Huyo jamaa ni mchaga. Wachaga ni watafutaji! Acha uboya , piga kazi dogo!!!
Na ukipata upenyo pigaaaa1. Tume ya Maadili ni Kwa ajili ya Viongozi tu.
2. Fanya kazi Kwa bidii, acha shobo Kwa Mali za watu.
Kigezo cha kuwa mchaga na status ya utafutaji hakimuondolei tuhuma ya namna anavyozipata mali zake kwenye huo uchakalikaji wake, cos kama kigezo ni utafutaji pia utafutaji una aina zake, kuna forceful na peaceful utafutaji.Huyo jamaa ni mchaga. Wachaga ni watafutaji! Acha uboya , piga kazi dogo!!!
Kwahyo wanaoiba fedha za umma hawaumiz wengine??? Mabilion ya shilingiWewe ni jinga kweli ,anapambania maisha kwa kuumiza wengine? Hakuna mtu anae pambania maisha kwa kuumiza wengine halafu tumuite mtafutaji, huyo ni muuajina mwizi
Una hoja, usikilizweNdg Wana jamvi,
Kumekuwa na malalamiko mengi kwa mabasi na magari mengi yanayo pita njia hii ya SEGERA Chalinze kutokana usumbufu wa Polisi huyu.
Anatuhumiwa kwa kulazimisha kupewa rushwa na kubambikia watu makosa hata kuwawekea madereva wa mafuso mirungi, na kudai rushwa kubwa.
Watu wamefatilia Mali anazomiliki haziendani na muda aliohudumu kazi I na cheo chake cha koplo. kwa haraka haraka anamiliki magari ya kifahari TOYOTA PRADO, SUBARU FORESTER Nyumba mbili za kifahari kwa cheo cha Koplo.
Tume ya maadili hebu wachunguze tuhuma hizi za madereva wanaopita njia hii ya SEGERA / CHALINZE .
Una akili timamu?Huyo jamaa ni mchaga. Wachaga ni watafutaji! Acha uboya , piga kazi dogo!!!
Hiyo njia kuna deal nyingi sanaHuzijui rushwa za barabarani,sababu unatoa elfu tano bac akili yako inazania watu wote ndo rushwa wanazotoa.Kuna watu wanabeba mizigo ya magendo,kuna watu wana mizigo isiyo na docs zozote,kuna wanaobeba nyara za serikali.we unadhani traffic wa highway akikamata gari anaangalia leseni na sticker ya nenda
Nchi hii ukipata upenyo we piga tuAtafute kwa njia ya haki sasa. Na siyo hiyo ya kudhulumu hela za watu. Ngoja aingie kwenye 18 zangu! Nitamgeuza kuwa mbwa kudadek zake.
Kwa hiyo hayo magendo yawe yanaangukia mikononi mwa Koplo huyo tu? Na kama yanakamatwa na wengi na kutolewa rushwa kubwa kiasi hicho, huyo mwenye mzigo angekuwa analazimika kutoa rushwa jumla kiasi gani kuanzia Dar mpaka tuseme Tunduma, Namanga, Kasumulu au Rusumo?Huzijui rushwa za barabarani,sababu unatoa elfu tano bac akili yako inazania watu wote ndo rushwa wanazotoa.Kuna watu wanabeba mizigo ya magendo,kuna watu wana mizigo isiyo na docs zozote,kuna wanaobeba nyara za serikali.we unadhani traffic wa highway akikamata gari anaangalia leseni na sticker ya nenda
Ushauri mwingine bwana, ni kama shetani anamshauri Adam atende maovu kwa kuwa maisha ni mafupi.Tafuta hela dogo maisha ni mafupi. Cha msingi asiwe kazipata kwa kuua mtu.
Wewe unazungumzia huyo na kusahau mafisadi papa nani atawachunguza? Unajua mali wanazomiliki nje ya nchi? Ukipata fursa itumie becouse 1 day you will leave this world behind.