DOKEZO Utajiri wa Koplo Adronis Mushi wa Kituo cha Polisi Kabuku uchunguzwe

DOKEZO Utajiri wa Koplo Adronis Mushi wa Kituo cha Polisi Kabuku uchunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tafuta hela dogo maisha ni mafupi. Cha msingi asiwe kazipata kwa kuua mtu.

Wewe unazungumzia huyo na kusahau mafisadi papa nani atawachunguza? Unajua mali wanazomiliki nje ya nchi? Ukipata fursa itumie becouse 1 day you will leave this world behind.
Siku ukivababikiziwa kesi na polisi kisha ukaacha mkeo na watoto ukafungu ndipo utakapo tambua kuwa polisi sio mtu
 
Naunga mkono hoja, achunguzwe na aeleze mali kazitowa wapi, watu kama huyo ndiyo wanafanya maisha ya watu kuwa magumu na ndiyo wanaofanya uhalifu na magendo vishamiri.
Watu waliopiga kwenye DP ndio wanasababisha mambo kuwa magumu. Maana wamepiga kwenye large scale basis
 
Yaani siku hizi Tz mtu unahukumiwa kwa unachopata na siyo jinsi unavyokipata.

Sasa mtu kupokea rushwa imekua ni life style na inabidi asifiwe
 
Kwa rushwa hii hii ambayo wengine wanapokea na hawana vitu vyote hivyo tajwa kama yy..basi anaakili mingi aendeleee kuiba maana anaipokea rushwa na kuituma vyema ...nasemajee afande Mushi ongeza kasi....wivu mbaya sana
 
Mbona sio Tajiri kuwa na magari mawili ya usd 3000 Japani ndio Tajiri kuweni serious bhana...sema ahukumiwe kwa makosa yake ila sio kusema ni Tajiri na nyumba zenyewe zipo kabuku wakati pana wahuni wanawavua watu nyumba Kariakoo na kujenga nyumba za kupangisha maduka na ni watumishi wa Serikali...
 
Ndg Wana jamvi,

Kumekuwa na malalamiko mengi kwa mabasi na magari mengi yanayo pita njia hii ya SEGERA Chalinze kutokana usumbufu wa Polisi huyu.

Anatuhumiwa kwa kulazimisha kupewa rushwa na kubambikia watu makosa hata kuwawekea madereva wa mafuso mirungi, na kudai rushwa kubwa.

Watu wamefatilia Mali anazomiliki haziendani na muda aliohudumu kazi I na cheo chake cha koplo. kwa haraka haraka anamiliki magari ya kifahari TOYOTA PRADO, SUBARU FORESTER Nyumba mbili za kifahari kwa cheo cha Koplo.

Tume ya maadili hebu wachunguze tuhuma hizi za madereva wanaopita njia hii ya SEGERA / CHALINZE .


Acha umbea, kila mtu serikali hii ni Mwizi
 
Madereva wanalia kwa kubambikiwa kesi za mirungi, Ngoja likukute utajua MUSHI , uliza Madereva wenyewe watakwambia vilipo vyao
Hii ni mbaya sana, Mungu atusaidie kwa kweli. Sasa ukishawabandikia watu kesi na kununua hizo gari zitakusaidia nini? Utu ni muhimu sana kuliko kitu.
 
Back
Top Bottom