- sheria yetu ya kuzuia na kupambana na rushwa, (the prevention and combating of corruption act) ya 2007, imesema kumiliki Mali zilizozidi kipato chako ni kosa hadi uweze kutoa uthibitisho wa kumiliki hizo Mali, zingatia neno 'uthibitisho'
-sawa kuna mikopo, Swali linakuja una Mali za bilioni 1 na salary scale ya 1M Inaingia akilini? , Ila ukiweza kuthibitisha kuwa ukiweza vipi kumiliki Mali za bilioni 1 kwa salary ya 1m haina shida, uthibitisho unaweza ukawa mfano ulipata mikopo, ulipewa zawadi somewhere,kurithi nk