chimulenga
Senior Member
- Jun 28, 2023
- 174
- 360
Nikuulize wew unao uelewa?? Pale unapo taka wew mawazo yako yawe sahihi katika hoja zenye mkusanyiko Wa watuUnauelewa kweli wewe ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuulize wew unao uelewa?? Pale unapo taka wew mawazo yako yawe sahihi katika hoja zenye mkusanyiko Wa watuUnauelewa kweli wewe ?
Siungani na mtoa mada, ila najiuliza kuhusiana na hii kauli yako. Kwamba ikijulikana mtu ni Mchaga basi hastahili kuchunguzwa?Huyo jamaa ni mchaga. Wachaga ni watafutaji! Acha uboya , piga kazi dogo!!!
Ndomana kila mtu anataka kuibaAcha umbea, kila mtu serikali hii ni Mwizi
Akafuge nguruwe mjini Prado sawa na baiskel tuAtakuwa kakuchukulia demu si bure si kwa chuki hizo. Yeye anapambania maisha ya familia yake na yeye siyo chanzo cha umaskini wako. Tafuta hela nchi hii ina fursa nyingi acha makasiriko hakuna aliyetoboa kwa chuki. Uvivu wako majungu yako roho mbaya yako chuki zako ndiyo umaskini wako. Ongea na watu vizuri huenda hali yako ngumu ya maisha utatuzi wake ni mdogo sana
1. Tume ya Maadili ni Kwa ajili ya Viongozi wa Umma tu (sheria imeainisha).
2. Fanya kazi Kwa bidii, acha shobo Kwa Mali za watu.
3. Mushi akakae kijijini Kabuku halafu aone fursa azembee?
Acha ukabila, kwani nani siku hizi sio mtafutaji?Huyo jamaa ni mchaga. Wachaga ni watafutaji! Acha uboya , piga kazi dogo!!!
Kuna sheria inawaruhusu Takukuru kuchunguza mtu yoyote atakayekuwa na mali nyingi kuliko kipato chache1. Tume ya Maadili ni Kwa ajili ya Viongozi wa Umma tu (sheria imeainisha).
2. Fanya kazi Kwa bidii, acha shobo Kwa Mali za watu.
3. Mushi akakae kijijini Kabuku halafu aone fursa azembee?
Ni kosa kwenye sheria za ujamaa na Sio kwa sheria za Sasa.Acha ukabila, kwani nani siku hizi sio mtafutaji?
- mleta mada ana hoja nzuri tu ila tatizo ni kuthibitisha Hilo, ukiisoma Sheria yetu ya kupambana na kudhibiti rushwa kuna kosa linaitwa Unexplained property - Hilo kosa ni kwamba kumiliki Mali zilizozidi kipato chako ni kosa la jinai au kuishi hadhi ya maisha iliyozidi kipato chako ni kosa Lina jinai, hadi utakapoweza kuthibitisha umeweza vipi kumiliki Mali zilizozidi kipato kihalali.
Sheria ya kipumbavu sana.Kuna sheria inawaruhusu Takukuru kuchunguza mtu yoyote atakayekuwa na mali nyingi kuliko kipato chache
Kilichoharibu uzi huu ni jina la Mushi!! Wezi wanateteana kama nyie na waaarabu!!Naunga mkono hoja, achunguzwe na aeleze mali kazitowa wapi, watu kama huyo ndiyo wanafanya maisha ya watu kuwa magumu na ndiyo wanaofanya uhalifu na magendo vishamiri.
Kubishana na mtu anajiita bongo dili ni kazi kweli kweli!!Sheria ya kipumbavu sana.
Uwiano wa kipato na umiliki wa Mali unapimwaje
- sheria yetu ya kuzuia na kupambana na rushwa, (the prevention and combating of corruption act) ya 2007, imesema kumiliki Mali zilizozidi kipato chako ni kosa hadi uweze kutoa uthibitisho wa kumiliki hizo Mali, zingatia neno 'uthibitisho'Ni kosa kwenye sheria za ujamaa na Sio kwa sheria za Sasa.
Mbona watumishi wengi Wana mali zama zimebadilika wengi wamejiongeza mikopo
Assalamualaikum Bi.FaizaNaunga mkono hoja, achunguzwe na aeleze mali kazitowa wapi, watu kama huyo ndiyo wanafanya maisha ya watu kuwa magumu na ndiyo wanaofanya uhalifu na magendo vishamiri.
Ni sheria ya kipumbavu yenye kulenga Nini.- sheria yetu ya kuzuia na kupambana na rushwa, (the prevention and combating of corruption act) ya 2007, imesema kumiliki Mali zilizozidi kipato chako ni kosa hadi uweze kutoa uthibitisho wa kumiliki hizo Mali, zingatia neno 'uthibitisho'
-sawa kuna mikopo, Swali linakuja una Mali za bilioni 1 na salary scale ya 1M Inaingia akilini? , Ila ukiweza kuthibitisha kuwa ukiweza vipi kumiliki Mali za bilioni 1 kwa salary ya 1m haina shida, uthibitisho unaweza ukawa mfano ulipata mikopo, ulipewa zawadi somewhere,kurithi nk