Utajiri wa Magofu ya Rapta

Leo tumeanza kupata majibu taratibu ya kwanini Manuela haonekani tena kuwa na arosto kama alivyokua haullaga, hivyo mpaka kesho tutakua na majibu kamili yanayomuhusu Manuela au fatemeh kama ni junkie ( mtumiaji wa unga).

Kuhusu Gatkuoth nadhani wote mnakumbuka alikua teja kabisa na si unajua teja hapewi dhamana popote pale yaani teja hajawahi kuaminika popote pale.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Naona manzi ataliwa mwishoni kama kwenye muvi vile, kiuhalisia dem ambaye hujawahi kumla uko naye chumbani huwezi kupata usingizi
 
Kwa maelezo yako Gat naye alikuwa na malengo sana ila muda uliongea. Pengine nawe ungekawizwa kama mwezi hivi hasa ukiangalia kitengo ulichowekwa ni wazi unge sniff tu, kwa kutaka au la. Na ndipo ungemfuata Gat, au unasemaje
 
Alteza haikuwepo 2012?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…