Utajiri wa Magofu ya Rapta

TUANZE WEEKEND

Unyonge wa fatemeh uliongezeka maradufu wakati akiwa anajaribu kunisimulia vizuri maisha yake ya hapo nyuma. Nimetumia neno anajaribu kwakua ilionekana ni kazi ngumu kunipa story ile kwani alikua na dalili zote za kutokwa na machozi.

Kama alivyotangulia kusema hapo mwanzoni kwamba hamjui baba wala mama, yeye alikua akijikuta kwenye orphanage (kituo cha kulelea watoto yatima).

Mlezi wake wa Kwanza ambaye alitangulia kumlea kituoni hapo ndiye alimpokea tokea siku anafikishwa kituoni hapo ila mlezi huyo hakufanikiwa kuwajua au kuwatambua wale waliomleta kituoni hapo.

Kwakua fatemeh hakuwahi kabisa kuishi na wazazi hapo kabla hivyo maisha ya kituoni aliyaona ni maisha mazuri kabisa na alipaona kituoni hapo kama nyumbani mpaka alipojitambua. Baada ya kuanza kupata akili za utu uzima ndipo alipogundua kuwa alistahili kuwa na wazazi wake wawili lakini pia alistahili kuwa na mahala ambapo alipaswa kupaita nyumbani.

Mbaya zaidi wakati anakua na kufikia miaka 12 mpaka 13 aliigindua changamoto kubwa kwenye mwili wake ambayo baadae aliamini changamoto hiyo ndiyo ilimpelekea ata kutengwa na wazazi wake akiwa bado mdogo.

Mlezi wake wa hapo awali alimlea katika misingi ambayo ilimfanya asigundue changamoto hiyo au asigundue kama alikua tofauti na wenzie wote kituoni hapo.

Kabla fatemeh hajamaliza kunisimulia vizuri au tuseme tu akiwa mwanzoni kabisa mwa simulizi alisimama na kuondoka akikimbilia chumbani kwake.

Alipokimbilia chumbani kwake ilitosha sana kunipa ishara kwamba hataki kunisimulia au hataki kukumbuka au kujua nini kilimtokea kwenye maisha yake ya hapo nyuma.

Nilimfuata lakini kwa bahati mbaya alifunga na mlango kabisa ili kudhihirisha hakua tayari kuendelea na maongezi yale.

Hivyo ata mimi niliishia mlangoni bila mafanikio ya kuingia ndani, kiukweli niliumia sana kwa jinsi nilivyomuona fatemeh wakati huo yaani ilionekana wazi kuwa anaumia sana kwa maisha yake anayopitia.

Aisee ukijiona na ndugu, yaani namaanisha kwenye maisha yako kama una mtu wa kumuita mjomba au kaka au dada basi mshukuru mungu sana. Haijalishi kama watu hao wapo hai au walishatangulia mbele za haki, kikubwa ukifanikiwa kujua kama una ndugu lakini pia ukiwa na kwenu mshukuru sana m/mungu.
Kwa hali aliyokuwa anapitia fatemeh ni wazi ata ikitokea anaumwa basi mtu wa karibu au watu wa karibu ni wale aliokua anafanya nao kazi lakini mbali na hapo anaweza akafia kitandani.

Fatemeh akiwa amejifungia chumbani kwake ni wazi alikua analia tena kilio cha kwikwi ila hakutaka nishuhudie machozi yake.

Nafsi alijawa na huruma kwa kile alichokua anakipitia fatemeh ila nilishindwa kujua namsaidiaje. Nilijaribu kubisha hodi nione kama atanifungulia lakini hakukua na dalili yoyote ya kufungua mlango ule.

MIMI: do you think we met by accident?
( Fatemeh unafikiri tumekutana kwa bahati mbaya?)

Kwa Wakati huo sasa niliona kabisa natakiwa kutumia busara kubwa sana kuhakikisha namtuliza.
Nilikua najaribu kumueleza kwamba mimi na yeye hatuja kutana kwa bahati mbaya, yaani kuna sababu kubwa sana ya mimi na yeye kukutana na ndio maana bado tupo pamoja.

Nilimsisitiza kuwa ndugu sio lazima awe wa damu hivyo basi ata mimi pia naweza kuwa ndugu yake kuanzia wakati huo. Psychologically niligundua kuwa alichokua anakihitaji fatemeh sio chochote bali ni faraja tu.

Lakini wakati huo naendelea kutafuta busara zaidi niliwaza pia kwanini mlezi wake aliuwawa? Nani alimuua na kwanini walimuua.

Pia niliamini kwa ujasusi alionao fatemeh ni lazima kuna namna bado anafuatilia kama sio asili yake basi ata kifo cha aliyekua mlezi wake.


Fatemeh alifungua mlango na kusimama katikati mlango ule, muda huo uso wote ulilowa machozi ambayo ilionekana wazi kuwa alijitahidi kuyazuia lakini yalitoka mfululizo.

Nilichokifanya wakati ule ni kwenda kumkumbatia kwa uchungu sana nikionesha na mimi ni kwa namna gani nimeguswa na kile anachokipitia wakati huo.

Fatemeh alinipa ushirikiano yaani alinikumbatia pia tena kwa nguvu na kwa uchungu mno huku nikihisi kuloweshwa na machozi mabegani mwangu.

Baada ya kuwa zimepita kama sekunde sitini hivi nilimtoa mabegani mwangu na kisha nikamwangalia usoni. Sikua na jinsi zaidi ya kumpelekea lips zangu kwenye mdomo wake na yeye alizipokea bila hiyana, apa nilikumbuka ile siku tukiwa haullaga tulikiss kwa namna ileile.
Baada ya kupiga lita kadhaa kwenye mdomo wake ni kama fatemeh alistuka na kujitoa kwenye mikono yangu kisha akakimbilia dirishani ambako aligeukia huko bila kunitazama kabisa.

FATEMEH: Sorry can you leave me alone for a while?
( Samahani Ludovic unaweza kuniacha peke yangu kwa muda)

MIMI: I have no reason to leave you alone
( Sina sababu ya kukuacha peke yako)

FATEMEH: what you think is impossible
(Unaloliwaza haliwezekani)

Sikumuelewa fatemeh alimaanisha nini kwa kauli ile, ila alipoona nimegoma kutoka au kumpisha aliamua kuondoka yeye na alielekea sitting room ambako alikaa kama mkiwa akionekana kuwaza sana.
Baada ya kuniacha chumbani kwake sikuona haja ya mimi kuendelea kubaki pale hivyo nilimfuata tena, lakini sikuenda alipokaa yeye zaidi nilisogelea meza ya chakula kisha nikabeba sahani ya msosi mpaka alipokaa fatemeh.

MIMI: Forget the past but also forgive those who put you in these troubles
( Sahau yaliyopita lakini pia wasamehe waliokuweka kwenye shida hizi)

FATEMEH: I don't think
(Sidhani)

Nilichukua uma na nilijaribu kumlisha fatemeh chakula kile, aliachama au niseme alifunua mdomo. Lakini wakati ana achama alifumba na macho pia ishara ya kwamba hakutaka kuona kinachoendelea pale.

Baada ya kumeza chakula nilichomuwekea mdomo, machozi yalimtoka kwa mara ya pili tena safari hii yalitoka mengi zaidi.

FATEMEH: why did you came to my life?
( Kwanini umekuja kwenye maisha yangu)

FATEMEH: Tell me your purpose, I think you have come to add more problems to me
( Nambie dhumuni lako, nahisi umekuja kuniongezea matatizo zaidi)

Sikutaka kujibu swali lake zaidi niliendelea kumlisha na ilionekana wazi kabisa kuna mambo ambayo fatemeh hajawahi kuyapitia kwenye maisha yake. Miongoni mwa Mambo hayo pia lilikua ni swala la yeye kujihisi kuthaminiwa na mtu yoyote.


Kwa muonekano wa fatemeh wakati huo mtu yoyote asingedhania huyu ndiyo yule niliyekua nae maporini na huyuhuyu ndie yule binti aliyepitia mafunzo mengi ya hatari kwa kuanzia na yale ya ninjutsu.

Kwa Wakati huo nilijaribu kumtengenezea mazingira ya kuendelea kuniamini na kuniweka karibu yake zaidi. Niliamini kwa kufanya hivyo ningemsaidia pia kwani kama mwanamke alihitaji pia kujihisi anapendwa na kuthaminiwa.

Lakini pia alikosa kile watu wanaita sense of belonging, hivyo nilijaribu kumtengenezea mazingira hayo yote ili asijione kama yupo peke ake kwenye ulimwengu huu.

Lakini pia yote hayo niliyafanya ili kumuongezea thamani kwani kwa haraka haraka alionekana kama mtu ambae hana sababu ya kuishi. Ila ilikua kuwa ngumu kuyagundua yote hayo kwa haraka haraka.
FATEMEH: you know what Ludovic
( Unajua Ludovic)

MIMI: tell me
( Nambie)

FATEMEH: You kissed me for the first time
( Ulinibusu kwa mara ya kwanza)

MIMI: of course
( Bila shaka)

FATEMEH: then you hugged me
( Tena ulinikumbatia)

MIMI: yes of course
( Ndio )
FATEMEH: we went further More and sucked your dick
( Tukaenda mbali zaidi nikanyonya na d***)

MIMI: yeah
( Ni kweli kabisa)

Kazi yangu ilikua ni kuitikia tu sikujua anataka aseme nini mpaka muda huo.

FATEMEH: Not that I've never done all this
( Sio kwamba sijawahi kufanya yote haya)
Na aliendelea kusema
"I did but with my fellow women"
( Nilifanya hivyo lakini kwa wanawake wenzangu)


Hapa alikua akiongea kwa hisia kweli, na alidai kwenye maisha yake yote tokea alipobarehe mpaka kufikia umri huo alikua akifanya michezo hiyo na wale aliokua nao either shuleni au ata kwenye vituo alivyokua akilelewa.

Hivyo hakuwahi kufanyiwa mambo hayo yote na mwanaume, yaani hajawahi kukiss na mwanaume, hajawahi ku hug na mwanaume, na hajawahi ata kushika maumbile ya kiume.

Hayo yote aliyafanya kwa mara ya kwanza kwangu, na kiukweli tokea siku ya kwanza tukiwa haullaga yaan apa alimaanisha ile siku aliyojaribu kunifanyia blowjob alipata hisia za ajabu sana.

Alidai kwenye maisha yake hajawahi kuwa treated kama mwanamke linapokuja swala la sex, hapo nikagundua hata kule haullaga basi Catarina ndio alikua mwanamke na sio yeye kama tulivyodhania mimi na Javier.
Hivyo basi kwa mara ya kwanza mimi ndio nilimtreat kama mwanamke na hii ni baada ya yeye kunifanyia blowjob, alidai hisia alizopata siku hiyo alishindwa kabisa kujizuia ndio maana siku ile aliniaga haraka haraka na kuondoka.


Sasa basi kwa maelezo ya fatemeh, alimaanisha hapo mwanzo hakujiona kama mwanamke isipokua mimi ndio nilimfanya ajione kama mwanamke kabisa.

Hivyo hapo kabla alikua ni mwanamke kimuonekano na kimavazi lakini kwenye swala la mapenzi aliact kama mwanaume, na hii sio kwa Catarina tu bali aliwafanyia hivyo wengi sana hapo kabla.

(0623329512 Whatsapp) kwa muendelezo njoo tupo mbali zaidi around kwenye episodes 15 kutoka apa tulipo. ( Whatsapp zinatumwa kila siku)

Mpaka sasa tumejua fatemeh alitokea Cerro de Pasco kwenye misheni iliyoitwa Industrial espionage kabla hajaenda haullaga na tumejua kwanini kwasasa hapati arosto kwa ilivyokua apo awali.

Baadae tutaelezana kuhusu honey trap au sexpionage kama inavyopendwa kutumiwa na majasusi wa KGB, kama una date na demu ambaye ni jasusi basi kupitia mbinu ya honey trap kumegewa ni swala la muda tu.



Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Timejua kwa nin hapat arosto!!!


Inamaana kipande hicho kilinipita???


Bwasheee,hiyo hapat arosto ipo ep. ya ngap???
 
Timejua kwa nin hapat arosto!!!


Inamaana kipande hicho kilinipita???


Bwasheee,hiyo hapat arosto ipo ep. ya ngap???
Kipo mbele sana mzee kwa watu wa Whatsapp wameshakifikia na naendelea kudadavua,

Wakati Manuela au fatemeh anaelezea misheni ya kwanza kumpeleka Peru ambayo ilikua ni industrial espionage ata eleza na hilo pia kupitia ugonjwa unaotambulika kama ADHD.

nisimalize radha mzigo unakuja kaa kwa kutulia chief.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Sawa bwasheee


Kwa mujibu wa maelezo yako hapo tulishajua kinachosababisha awe na arosto ndio maana ulinishtua


Mchaw aftat Wallah
 
Aiseeh noma kweli,, Natamani sana nije kuwa jasusi mkuu hivi nitaanzia wapi?
Gender;me
 
Unapendea nini kwenye ujasusi Chief??
tafuta pesa uishi maisha mazuri utayoyataka wewe mwenyewe hayo mengine ni UTUMWA MPAKA KIFO CHAKO

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Naamini kupitia ujasusi ni njia mojawapo itayonipatia elimu nyingne ambayo haiko exposed sana kwa Kila mtu,napenda sana kujifunza vitu vipya kiongozi, Kwan najua the world has a lot to offer us than what we have been enslaved to believe.
 
Sijui kwa nini, lakini nahisi wewe ni usalama wa taifa!
 
Hii ngoma inavyoonekana ndo kwanzaa inaanza
Moja kati ya vitu vinavyowapa changamoto waandish ni koment za wasomaj



Unakuta mwandishi alishaandika story kitambo lkn kutokana na koment za wadau anajikuta anashawishika kupunguza baadh ya mambo na kuongezea baadh ili kuendana na vaib la wasomaj na hiyo hupelekea eidha story kuwa ndefu au fupi tofaut na ilivyotarajiwa na mwandish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…