Pluto thnker
Senior Member
- Aug 25, 2024
- 147
- 295
Uzi umenyooka, naendlea kusubil muendelezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana. Hawezi kurudi tena.Uzi umenyooka, naendlea kusubil muendelezo
Aisee asante mkuu.Pole sana. Hawezi kurudi tena.
Muungeni mkono mwandishi kwa kulipia pdf.Uzi umenyooka, naendlea kusubil muendelezo
Mimi hunter ..Niko kisiwa cha mafia, nimewahi kusikia mzee mmoja akiongelea kuzama kwa kisiwa hicho cha Rapta. Treasury hunters karibuni tuzamie
Nina hamu ya kujua kaka hayo ya KunduchiMimi hunter ..
Nimefurahi hata Kama ni stori lakini amegusa sehem ambazo nyingine ni kweli nimeenda mwenyewe Nina mpaka ushahidi
Ametaja lindi ni kweli pale Kuna sehem moja Kuna pango nimeingia Sana Pana....hapo lindi ukivuka na boti kwenda kitunda.
Kuhusu mji huo uliopotea ni kweli na sio ulipotea Bali umefichwa kwa macho ya kawaida ni ngumu kuufikia .
Lakini inawezekana.
Kunduchi ni kweli hapo kila mwezi huwa nafika mpaka hao walinzi wameshanizoea ..
Tena hapo ndo Kuna taarifa ambazo hata waosimamie eneo Hilo wenyewe hawazijui wao wanaona Yale ni makuburi kumbeeee
Kuna sehem ipo kigamboni ...
Kama una uhakika unajiweza nitafute .