Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 242
- 288
😂😂 Ila hawa pro Arab vichwa vyao vinashida mahaliNgoja waje wale Pro Arab watakwambia kuna waarabu wana mkwanja kumzidi Ellon ila wamejificha tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 Ila hawa pro Arab vichwa vyao vinashida mahaliNgoja waje wale Pro Arab watakwambia kuna waarabu wana mkwanja kumzidi Ellon ila wamejificha tu..
Hebu fafanua mkuu tuelewe unacho kisemaWealth based on speculation.....ukiangalia revenue ya telsa ambayo ndiyo inamlipa zaidi haijashoot for the past 12 months
ZoteBombadia au Boeing?
Amebadilisha rasmi jina lake usikute ameanza kuanika wazi ukweli. Pole pole.Elon ni kiumbe mwingine kutoka sayari nyingine kabisa.
Ni utajiri wa kinadharia, thamani ya hisa za tesla, ni sawa leo tusema thamani ya embe dodo imeongezeka mpaka $100 kwasababu tuu watu walimuona Rais Samia akila dodo. Makampuni yake yote hayatengenezi faida (Si kimauzo wala kihuduma), yanaendeshwa kwa ruzuku, ni tofauti na kampuni kama Apple ambapo huduma na mauzo ya bidhaa zinaibeba.Hebu fafanua mkuu tuelewe unacho kisema
Wewe mkazi wa tandale kwa tumbo mnao fungulia vyoo wakati wa mvua, boresha kwanza makazi yako uondokane na uchafu ndio uanze kutudanganya sasa kuhusu utajili wa elon muskNi utajiri wa kinadharia, thamani ya hisa za tesla, ni sawa leo tusema thamani ya embe dodo imeongezeka mpaka $100 kwasababu tuu watu walimuona Rais Samia akila dodo. Makampuni yake yote hayatengenezi faida (Si kimauzo wala kihuduma), yanaendeshwa kwa ruzuku, ni tofauti na kampuni kama Apple ambapo huduma na mauzo ya bidhaa zinaibeba.
Sawa, tuambia ni mapato yepi yaliyosababisha utajiri wake kuongezeka hivi karibuni.Wewe mkazi wa tandale kwa tumbo mnao fungulia vyoo wakati wa mvua, boresha kwanza makazi yako uondokane na uchafu ndio uanze kutudanganya sasa kuhusu utajili wa elon musk
We si mjuaji na ukaandika na gazeti kabisa sasa unataka nikuambie nini?Sawa, tuambia ni mapato yepi yaliyosababisha utajiri wake kuongezeka hivi karibuni.
AseeeMfanyabiashara maarufu wa Marekani, Elon Musk amekuwa Mtu wa kwanza katika historia duniani kufikisha thamani ya juu ya utajiri wa dola bilioni 400 za Kimarekani ( zaidi ya Trilioni 970 za Kitanzania) baada ya kuongezeka kwa utajiri wake kutokana na ushindi wa Rais mteule Donald Trump katika uchaguzi wa Marekani uliofanyika Novemba mwaka huu.
Ripoti zinaeleza kuwa Utajiri wa Musk kwa sasa ni mara mbili ya Mtu tajiri wa pili duniani ambaye ni Jeff Bezos mwenye utajiri unaokadiriwa kufikia dola bilioni 244 za Kimarekani (zaidi ya Trilioni 590 /- za Kitanzania) ambapo kwa mujibu wa Bloomberg utajiri wa Musk umeongezeka kutokana na kupanda kwa hisa za Kampuni yake ya Tesla na SpaceX.
Hisa za Tesla zimeongezeka kwa zaidi ya asilimia 60 tangu wakati wa uchaguzi wa Marekani huku kukiwa na matarajio kwamba Rais mteule, Donald Trump atafutilia mbali kanuni zinazoonekana kurudisha nyuma maslahi ya biashara za Musk na kumfanya aendelee kufanya vizuri zaidi kutokana na nafasi aliyopewa ya kusimamia Ufanisi wa Serikali ya Trump atakapoanza kazi Januari 2025.
Haya yanajiri ikiwa ni wiki chache tu zimepita tangu Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutangaza kupokea maombi kutoka kwa Kampuni ya Starlink Satellite Tanzania Limited inayomilikiwa na Elon Musk kupitia Wanahisa wa Starlink Holdings Netherlands B.V na SpaceX Netherlands B.V kuomba leseni ya kitaifa ya miundombinu na leseni ya kitaifa ya Huduma ya mifumo tumizi kuendesha shughuli zao Nchini Tanzania.
Elon Musk ni hatari sana.
32 trillion kwenye maandishi ila uhalisiaNi trillion 975 hiyo sasa gawanya
Bajeti ya Tanzania kwa mwaka ni 32 trillion.