Utajiri wa Mfanyabiashara Elon Musk wazidi kuongezeka

Hebu fafanua mkuu tuelewe unacho kisema
Ni utajiri wa kinadharia, thamani ya hisa za tesla, ni sawa leo tusema thamani ya embe dodo imeongezeka mpaka $100 kwasababu tuu watu walimuona Rais Samia akila dodo. Makampuni yake yote hayatengenezi faida (Si kimauzo wala kihuduma), yanaendeshwa kwa ruzuku, ni tofauti na kampuni kama Apple ambapo huduma na mauzo ya bidhaa zinaibeba.
 
Wewe mkazi wa tandale kwa tumbo mnao fungulia vyoo wakati wa mvua, boresha kwanza makazi yako uondokane na uchafu ndio uanze kutudanganya sasa kuhusu utajili wa elon musk
 
Wewe mkazi wa tandale kwa tumbo mnao fungulia vyoo wakati wa mvua, boresha kwanza makazi yako uondokane na uchafu ndio uanze kutudanganya sasa kuhusu utajili wa elon musk
Sawa, tuambia ni mapato yepi yaliyosababisha utajiri wake kuongezeka hivi karibuni.
 
Aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…