Utajiri wa Mo uchunguzwe

Utajiri wa Mo uchunguzwe

Achunguzwe kwa kutolipa bonus!!
Utajiri wake unatuhusu nini?
Makubaliano na Simba ndio la kafatiliwa lakini utajiri wake sio..
 
Lofa ni wewe unayetegemea kusikiliza kwanza Kigwangwala amesemaje ndio uje kutoa maoni
Sasa ndugu Moo unakasirika nini ?
Na wapi umeona namsubiri HK nije nitoke maoni. Au hujaelewa nilichoandika ndugu Mudi ?
 
Hata huyo Gsm ni suala la muda tu timu zinaendeshwa kihasara
 
Kwa ufupi ni kuwa mashabiki hawana mchango Simba
 
Back
Top Bottom