Utajiri wa Nairobi ni zaidi ya mara mbili ya Dar, komeni kuvilinganisha maana haviendani, Nairobi pekee yake ni kama Tanzania yote

Utajiri wa Nairobi ni zaidi ya mara mbili ya Dar, komeni kuvilinganisha maana haviendani, Nairobi pekee yake ni kama Tanzania yote

tatizo la danganyika kila mtu ni mjinga,nchi linaongozwa na giza
Subiri mwakani utajua mjinga ni nani. Mwakani siyo mbali tanzania inakwenda kuifuta Kenya kwenye ramani ya dunia
 
Wewe subiri mwakani tu uone .na kufikia uchaguzi wa Kenya 2022 mtajuta kuifahamu Tanzania huo ndiyo utakuwa mwanzo mchungu Kwa wakikuyu Kenya kila kila goti la mkikuyu litapigwa kwa fz
Wewe hujiulizi hapo $54b dhidi ya Tanzania yote ambayo ni 60$ tofauti ni chenji ya bwenyenye mmoja...
Yaani Tanzania yote nchi zote mbili mpaka visiwani uunganishe uchumi wote ndio unatoshana na Nairobi, aibu iliyoje, tatizo lenu uzembe, mna kila kitu cha kuwawezesha muongoze Afrika yote kiuchumi, sema uvivu, hupewi vyote, unapewa raslimali unanyimwa akili na uwezo wa kujituma.
Au upewe kainchi kama ketu ambako zaidi ya nusu yake ni kame tupu lakini uongezewe akili na uwezo wa kujituma.
 
Wewe subiri mwakani tu uone .na kufikia uchaguzi wa Kenya 2022 mtajuta kuifahamu Tanzania huo ndiyo utakuwa mwanzo mchungu Kwa wakikuyu Kenya kila kila goti la mkikuyu litapigwa kwa fz

Wimbo wa subiri uliimbwa hadi na mababu zenu na hadi leo pengo la uchumi baina yetu linazidi kuongezeka, karibu tunawapiga double.
 
Wimbo wa subiri uliimbwa hadi na mababu zenu na hadi leo pengo la uchumi baina yetu linazidi kuongezeka, karibu tunawapiga double.
siku ukija kujua uchumi halisi ni kitu gani utajilaumu ujinga uliokuwa nao miaka yote.

hiyo DC isiyoweza hata kujenga reli km 50 ni DC ya kwenye umeme.[emoji3][emoji3]
keep on kupanuwa.
 
siku ukija kujua uchumi halisi ni kitu gani utajilaumu ujinga uliokuwa nao miaka yote.

hiyo DC isiyoweza hata kujenga reli km 50 ni DC ya kwenye umeme.[emoji3][emoji3]
keep on kupanuwa.
Ni GDP sio DC. Cheki huyu confused element.
 
Wimbo wa subiri uliimbwa hadi na mababu zenu na hadi leo pengo la uchumi baina yetu linazidi kuongezeka, karibu tunawapiga double.
Kama siyo sisi kuwaokoeni msichinjane kwenyd uchaguzi Leo Kenya ingekuwa historia
 
Kwani mwakani kila Mtanzania atamea mabawa na kuruka angani kama ndege? Usitutishe na upuzi.
We subiri tu hadi uchaguzi wa Kenya ukifika ndiyo mwisho wa mkikuyu kushika nchi
 
2 times the size of Dar es Salaam.

Speaking of Dar, the Mombasa metro region has a bigger economy and has greater industrial output.
 
Attachments

  • 1574094233296.jpeg
    1574094233296.jpeg
    73.1 KB · Views: 1
Kumbe unajua kuwa madaraka kenya Kwa sasa yapo chini ya kabila la Kikuyu na yakibadilika yanaenda Kwa kabila lingine hapo umedhibitisha kuwa Kenya ukabila umekubuu .
Swala la kuhusu kushika kabila lingine mbinde ya kuwaondoa wakikuyu madarakani lazima sgr ya nchina ichomwe moto na Kenya itabaki magofu
Kwani kabila lingine likiingia madarakani ndio Kenya itakufa?
 
Dah! Sio kawaida yako, hapa umefikishwa penyewe, ila bro ndio hivyo ilivyo, bado mna safari sana kabla kunusia nyuma ya Kenya.
Nmetumia neno 'nyuma' kama euphemism maana bila kuwa makini ban tutalishwa humu.
Nishamripoti huyo!
 
Back
Top Bottom