Utajiri wa ndagu

Sasa hela mbona itakosa maana hapo.[emoji23][emoji23]
kuna mmoja arusha alienda kuchukua hela ya ndagu, karatu akapata hela sana kwa sharti mashine isisimame mpaka siku atakapo uchoka utajiri..........dadeki ninyimwe vyote sio hi starehe
 
Kuna mmoja yuko igamba mbozi songwe yeye sharti lake ni anakufa kwa siku 7 anaoza hadi mafunza,sasa akifufuka hapo baada ya mwezi fuso inachanwa karatasi mupya iyoo!
Anaoza akiwa mwenyewe au anamshirikisha na mkewe
Sasa hiyo ya kuoza unafanya mwenyewe au unamshirikisha mtu, na unafufukaje kwa mfano?
 
Kwisha habari yako.

Ila miaka ikiwa michache utajiri nao unakuwa mkubwa.

Mfano akila 7 na kwa mwingine ale punje 20

Huyu wa saba atakuwa tajiri mno kumzidi wa 20.
Shida sio utajiri, shida ni kuambiwa huruhusiwi kumbato
 
Anaoza akiwa mwenyewe au anamshirikisha na mkewe

Sasa hiyo ya kuoza unafanya mwenyewe au unamshirikisha mtu, na unafufukaje kwa mfano?
Mke lazima ashirikishwe na awe msiri na kazi yake inakuwa kufagia funza wale
 
Anaoza akiwa mwenyewe au anamshirikisha na mkewe

Sasa hiyo ya kuoza unafanya mwenyewe au unamshirikisha mtu, na unafufukaje kwa mfano?
Wanasema Unaoza Mwenyewe Chumbani
Yaani Unakuwa Umemshirikisha Mkeo Kazi Yake Chumbani Kuokota Funza Tu, Bila Watu Kujua Hadi Utakarudia Uhai Wako Tena
Haa 😁😀😀
 
kuna mmoja arusha alienda kuchukua hela ya ndagu, karatu akapata hela sana kwa sharti mashine isisimame mpaka siku atakapo uchoka utajiri..........dadeki ninyimwe vyote sio hi starehe
[emoji28]
 
Inakuwaje kama umebakisha miaka 20 tu ya kuishi?
 
Kumbato kama kawa. Ila sasa unajua kabisa nina miaka hii.

[emoji3][emoji3][emoji3]Hivi kwanini wasitoage utajiri bila vikwazo?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Shida sio utajiri, shida ni kuambiwa huruhusiwi kumbato
 
hakuna kitu kama hicho
Iko mbinu ya kuwachanganya Mashetani unaenda kwa Mashekhe unasomewa Salat al-Janazah wakimaliza wanapiga Salat al-mayyit unakuwa ushazikwa huku unadunda.
Ila hapo hata Mbwa ukipita wanakaa kimyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…