Kwanini usile matembele kwa amani kuliko kula vyuku kwa wasiwasi?Hahaha hahaha hahaha
Hiyo ni mbaya sana jamanii... Punje moja tuu ukitoka hapo unaanza kuhesabia siku
Ok, viatu vya SamakiHuwezi kuelewa kirahisi.
Ni tamaa tuu dear!Kwanini usile matembele kwa amani kuliko kula vyuku kwa wasiwasi?
Kujiua namna ganiKuna jamaa huku kwetu ni tajiri wa hivyo na alipewa sharti la kujiua na alipofanikisha akawa na ukwasi sana.
Gharama ya kiingilio!Pesa unayo.
Namaanisha kiingilio.
Hivi utajiri upi usurp na masharti magumu kupata utajiri rahisi sana changamoto kubaki kuwa tajiriJamani nimekuwa nikisikia kuhusu hili swala la utajiri wa ndagu. Unapata utajiri wa kutupwa kwa masharti magumu. Kama Kuna mtu anayafamu vizuri haya mambo naomba anielekeze niishi maisha ya kifalme.
Hivi utajiri upi usurp na masharti magumu kupata utajiri rahisi sana changamoto kubaki kuwa tajiri
Mfano ale punje moja
HahahahaSasa ole wako asile hata punje moja!.. [emoji144]
Iko mbinu ya kuwachanganya Mashetani unaenda kwa Mashekhe unasomewa Salat al-Janazah wakimaliza wanapiga Salat al-mayyit unakuwa ushazikwa huku unadunda.
Ila hapo hata Mbwa ukipita wanakaa kimyaa
Unakuta kuku mwenyewe ni sharobalo hatari..anakula robo punje tu afu anakuangalia na kukucheka kwa dharau
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Upo je unaweza kulala na mama ako tena umpitishie dushe uwani?
Ilikuwaje?Utajiri huu ndio uliomuua pepe kale cc GENTAMYCINE
Kama sharti ndio hilo acha nibaki maskinikuna mmoja arusha alienda kuchukua hela ya ndagu, karatu akapata hela sana kwa sharti mashine isisimame mpaka siku atakapo uchoka utajiri..........dadeki ninyimwe vyote sio hi starehe
Hahahaha
Asipokula si ndo hupewi mali kabisaa
kuna mmoja arusha alienda kuchukua hela ya ndagu, karatu akapata hela sana kwa sharti mashine isisimame mpaka siku atakapo uchoka utajiri..........dadeki ninyimwe vyote sio hi starehe
Inategemea na umri. Kama tayari una miaka 70 huo mmoja unatosha sana unawaachia mali watoto.Umeisha!!! Badala ya furaha itakuwa kilio. Bora kuishi miaka 30 maskini kuliko kuishi mwaka mmoja tajiri. Its a waste of life
🤣🤣🤣🤣🤣 zile ukifa nazo zinakufaInategemea na umri. Kama tayari una miaka 70 huo mmoja unatosha sana unawaachia mali watoto.