Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

😆 😆 😆 😆
 
Hapa JF nimewahi soma story za watu wachache sana waliyoandika mwanzo mwisho bila kuleta mwendelezo. Kuna demu alisimulia kisa chake cha kweli, aliishusha mwanzo mwisho. Ilikuwa ndefu, inahuzunisha na mafunzo mengi sana. Hizi za kuunga unga ni nzuri lakini mwendelezo unakuja tukiwa tumesahau ilipoishia. Huyu member simkumbuki jina

Mwingine fundi wa story non stop ni DeepPond anajitahidi sana kuandika story zake mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…