Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Nakumbuka mwanzo kabisa huko , jamaa alisema n kama msukule hivi wa kike.
Kwahyo kazi ya UMUGHAKA ni kulitoa genye hilo dubwana.
Anyway tusubiri next episode
 
Ila jamaa mzinguaji sana nowadays, nadhani sifa zimemzidia mpaka akajiona mkubwa, sasa naanza kuungana na chizimaarifa kwa haya mambo anayofanya, how comes mtu story ya siku moja usimulie mwezi mzimaa??? Yaani kama ingewezekana mods waufute huu uzi na jamaa wampige ban kwa kuwafanya watu misukule wake humu jf
 
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…