Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani


Aluta
 
Sehemu ya 18

Nikiwa ndani niliendelea kuwaza juu ya mambo aliyokuwa ameniambia bwana ally mpemba.

Swala la Kwanza ni juu ya kuniachia gari yake aina ya Audi, hapa niliona ni fursa kwasababu ningetumia kuwaringishia maboya kama Chizi Maarifa, na kuwanasa watoto wazuri Kama Antonnia, na To yeye .

Ila swala la kumstiri ndilo lilizidi kuniumiza kichwa??, Nikawaza namstiri wapi, au anadaiwa mikopo ya kausha damu, hivyo anaomba nimlipie🤔🤔

Yajayo yanafurahisha
 
We jamaaa mbna una husda ya wazi hivi!? yaani una wish ungekua mke wa mwamba
 
We jamaaa mbna una husda ya wazi hivi!? yaani una wish ungekua mke wa mwamba
Daaaah.....kweli wanawake mkiamua kupenda mnapenda. Hii text umeandika kwa mahaba. Na unamwona jamaa tayari ni mwamba wako.....🤣 Umenikumbusha mbali sana. Kuna demu alikuwa ananiita hivyo.... Ngoja aje Chizi Maarifa akujibu. Sema nimeona una mapenzi sana kwa mugaka
 
Bado tu haujapata viazi vya kutosha huko Mbeya mkuu?

Mbeya unapapenda
 
Dah nilikuwa mdogo kiasi Ila Yale magazeti yakusumbua Sana mtaa jamani,yaani linazunguka mtaa mzima😂😂,baadae likatoka lingine kinaitwa Tabasamu dah! cover Sasa wanachora wadada wana misambwanda hiyo balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…