Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kama unaweza simulia kwa mfululizo tu connect matukio vizuri ndio utamu wa story wenyewe ikipita muda mrefu tunasahau,asante
 
Obas Katule
 
Obas Katule
 
Nimekumbuka wakati nipo advance, nilisoma day katika shule flani iliyopo jiji lenye miamba ya mawe(Rock City).

Siku moja naenda shule asubuhi, nilikuwa nawahi kituoni cha daladala pale mecco, nikasikia kuna gari inakuja nyuma yangu, ilipo usawa wangu ilisimama na nikaifaham ni gari ya jirani yetu pale home. Wakati huo alikuwa tajiri.

Aliniambia dogo ingia ndani nikuwahishe shule, wakati nafungua mlango wa mbele, alinizuia akaniambia kaa nyuma. Kumbe yawezekana alikuwa na madude kama ya ally mpemba japo yeye alikuwa mwanamke
 
Hii stori imenifumbua macho sana, kuna jirani yangu ana ghorofa zuri ila yeye anaishi kwenye boycoter halafu mbuzi wake wawili ndio wanaishi kwenye ghorofa, hana familia ni anaidhi peke yake na mbuzi hapo kwake
 
Njoo baby zu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…