Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Aache kufanya shughuli zake akuletee story.. stupid.. kuwa mvumilivu naye anamajukumu pia

Sent using Jamii Forums mobile app

Achilia mbali swala la yeye kuleta story, ungekuwa na kili japo kidogo tu ungatambua kuwa, hakuna lolote la maana linaloendelea hapa zaidi ya ujinga ndimaana nimeomba uzi upigwe kufuli kwa muda ili apate muda wa kufanya hayo majukumu.

Mimi ni stupid & jobless ndiomaana niko hapa.
 
Nlijua tu kumsitiri ni kumgonga maya[emoji3]
 
Bora umelijua Hilo.... Wapo wanao taka kuingia kwenye hayo Mambo yahusuyo fedha zisizozahalali nao wanajifunza stori na matukio mbalimbali.... Ilibidi uheshimu hisia za wengine...

Shida yetu... Unapopewa chakula na tumbo lako linapokinai baada ya kushiba uko radhi uiharibu sahani kisa Tu wewe ulishashiba... Heshimu sahani ambayo wengine wanaitumia kulia haijalishi ni nani atakula...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naridhika na kidogo tukipatacho mimi na familia yangu...huku kwingine ni tabu na mateso ptuhhhhhh
Ni kweli, mshukuru Mungu kwa hilo dada yangu. Dunia ni mbaya, dunia inatisha. Mambo ya gizani yapo na yanatisha na kuhudhunisha sana. Leo unamfanya hivyo dada yako kisa nyumba na magari ambayo kuna siku tutayaacha. Mungu atusaidie kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…