Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Ninaungana ma wewe Mke. Aelezee kila kitu. Mambo ya kwenda uvinza na style zote zitakazotumika.
 
Wapenda show off ndo huwa na ujasiri wa kua na utajiri wa ukakasi.

Kama UMUGHAKA angekua mlevi wala asikubali huo upuuzi wa kufungua mlango mda wa kumwagilia moyo.

Wengine wakilewa watatoboa siri, mambo ya gizano na ulevi huenda ni maji na mafuta.
 
Nilikua najiuliza kwa nini humo ghorofani sisikii watu wakiishi nasikia tu kelele za mbuzi wakilia ndi huyo kijana wa usafi siku akaniambia hii nyumba wanaishi mbuzi tu ila mzee analala kwenye boycoter
Huyo mzee aishi na familia?
 
Huyo mzee aishi na familia?
Familia yake sijawahi kuiona tangu tumehamia hapa mwaka wa nne sasa ila nasikia ana nyumba nyingine bunju ambayo ndio familia wanaishi, yeye ana maduka ya vyombo mwenge na kariakoo, duka la mwenge anasimamia mkewe kwa mujibu wa majirani wengine
 
Dunia haina huruma linapokuja suala la pesa
 
Waja haaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…