Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Safi Mkulungwa,umetisha hata huyo marehemu mleta uzi umemzidi,endelea ktupia episode ya 20 bandugu
 
Kwa maelezo haya,, nmebadili mawazo sifugi tena paka. Kuishi na kiumbe ambacho hakiongei afu kina "mood swing" n hatari kuliko kuishi na mke!!
 
Yes nshawahi kuskia wana tabia ya kujisaidia kwny unga(anakunya afu anafukia) a,,, na kwny masofa.
 
Hapana, ni hospital zao au kama unapata vet anaweza kuja kumfanyia ata nyumbani kwako we ukabaki unauguza mgonjwa
Acheni ukatili jaman,,,, unamtoa ovary mwenzio humuhurumii???? Hv unajua anajiskiaje anavoona jike wenzie wanacheza na vitoto vyao??? Unahisi yeye hahuzuniki?? Hajiskii vibaya??

Kwa taarifa yako sasa,,,, kama hujui nkwambie,,, paka ni binadamu waliojificha. Yaan binadamu akifa ile roho yake anazaliwa paka.
 
Acha uongo mzee
 
Kwa maelezo haya,, nmebadili mawazo sifugi tena paka. Kuishi na kiumbe ambacho hakiongei afu kina "mood swing" n hatari kuliko kuishi na mke!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] after all hao ni wanyama mkuu, tunatakiwa kuwafuga lakini umakini uwepo pia, siunaskia ata Mbwa pia wanashambulia mabosi wao
 
Kwa imani ipi mkuu inayosema paka ni binadamu aliejificha?

Pia sio kila mnyama au kila mtu anataka kuzaa, ushawahi kujiuliza ni ipi faida ya kuzaa? Ukizaa wewe unapata faida gani personal?
 
Mkuu umetisha sana
 
Umetupooza machungu ya kumsubiria Umughaka
 
Nimeua sana Paka kwa chakula chenye sumu.
Sumu gani hyo uliyokuwa unatumia,maana paka wanajua miti shamba ya kujitibu pale anapopewa sumu

Niliwah kuona paka alikula chakula tulichokiandaa kwa ajiri ya kuulia panya,ghafla tukamuona anatoka nje anajivuruta miguu ya nyuma yaan kama kakatika mgongo baada kama ya lisaa alirudi akiwa mzima

Wengine walikuwa wale paka wa porini walikuwa wanakula sana kuku,tukawa tunaenda kununua nyama za ng'ombe zilizokataliwa na madaktar wa mifugo tunazidunga dawa ya kuoshea ng'ombe ili wakila wafe,cha ajabu tulikuwa tunakuta nyama imeliwa lakin huoni paka yoyote aliekufa
 
Nimeua sana Paka kwa chakula chenye sumu.
Sumu gani hyo uliyokuwa unatumia,maana paka wanajua miti shamba ya kujitibu pale anapopewa sumu

Niliwah kuona paka alikula chakula tulichokiandaa kwa ajiri ya kuulia panya,ghafla tukamuona anatoka nje anajivuruta miguu ya nyuma yaan kama kakatika mgongo baada kama ya lisaa alirudi akiwa mzima

Wengine walikuwa wale paka wa porini walikuwa wanakula sana kuku,tukawa tunaenda kununua nyama za ng'ombe zilizokataliwa na madaktar wa mifugo tunazidunga dawa ya kuoshea ng'ombe ili wakila wafe,cha ajabu tulikuwa tunakuta nyama imeliwa lakin huoni paka yoyote aliekufa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] after all hao ni wanyama mkuu, tunatakiwa kuwafuga lakini umakini uwepo pia, siunaskia ata Mbwa pia wanashambulia mabosi wao

Daah! Umenikumbusha kipindo hicho nilikuwa na dogii (Bosco).
Alikuwa ni kipande kama ndama wa ng’ombe vile[emoji16][emoji16]
Sasa siku narudi zangu school, sikujua kama sijui alizinguliwa na manzi yake daah! Si nikamshika kama kawaida huwa nazinguanaga nae..

Basi hamadi! Aligeuka akaniuma mkono huku akinguruma.

Aisee! Nilimtia mbegi wa kichwa hadi akili zikamrudia alivyoniangalia na kujua ni mimi, basi kakanisogolea kanatia huruma daah[emoji16][emoji16]

Hakuwa na madhara mnoo ila nilipata maumivu ya fasta na yalikata fasta.

Napenda kufuga dogii kuliko paka, na nachukia mnoo paka yeyote yule( vilitaka kuniua shenzi sana paka)
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hv inawezekana wale paka wa mtaan wakaja mpaka nyumban tena ndani kwa kuletwa na paka mwenyeji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana mmevurugwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…